FineForever
JF-Expert Member
- Apr 12, 2017
- 1,777
- 2,361
Secretion of enzymes
[emoji817] [emoji736]
Secretion of enzymes
Kwasababu unadanganya mwili kuwa unatafuna kitu utameza afu utashiba, kumbe hakiendi kitu zaidi ya mate so ile activity ya kutafunatafuna bila kushiba ndo inaleta hisia ya njaaHabari za mihangaiko ndugu zangu wa humu ndani...
Naomba kujua kama hili jambo kama huwa linatokea kwa kila mtu, huwa nikitafuna JoJo kwa mda mrefu huwa nahisi njaa hata kama nimekula mda mfupi uliopita, je? Jojo husababisha njaa kweli au nina allergy?
NawasilishaView attachment 835561
"Naskia" inatumikaga kuongeza hamu ya kula,Hata Bangi pia inaleta njaa sana.