Hii page pia uliisoma? Kama ulisoma Sets utaelewa kwa urahisi!Nimeingia but bado sijapata full concept why nikaomba humu kwa wataalamu wanaweza ni dadavulia vizuri
Unajua kuwa humu tumo member wa Stackoverflow? Acha dharau wewe raia!Ukishindwa hapo nenda Stack overflow ukaulize sio humu Jf
Bro za masiku, hivi ile IDE uliyo-develop kipindi kile bado upo nayo, nilipotezaga kompyuta iliharibika.Unajua kuwa humu tumo member wa Stackoverflow? Acha dharau wewe raia!
Salama sana. Ipo bado. Ina undergo nadhani ni third or more rewrite ambayo naamini ikiisha itakuwa imefuzu kupambana katika soko na kina PHPStorm 🙂Bro za masiku, hivi ile IDE uliyo-develop kipindi kile bado upo nayo, nilipotezaga kompyuta iliharibika.
Hongera sana kiongozi
Sio tu kuanzisha forum humu tu,====
Mkuu unaonaje kama humu tunaweza kuanzisha forum kama hii kusaidia watu kwenye ICT? mimi ni specialist katika Database design, development na administration. Pia nimedeal na networking, business intelligence na data warehousing nakadhalika. Nawe pia unao ujuzi wako, na wengine pia. Tukiungana tunaweza kutoa faida sana kwa ndugu zetu kuliko kila siku kuongea siasa na mahusiano....
Unasemaje mkuu?
....Sio tu kuanzisha forum humu tu,
Hata kutengeneza Forums nyingine inawezekana ambayo ita deal na Tech issues
Long nawaza ivo ila nakosa developers
Hizo screenshot chini,ni kazi niliyoianza ya Social network ila nimeipiga chini kwa kukosa support
(Huwezi codes kila kitu mwenyewe)
Tunaweza fanya ivo,tukaibadili ikawa Tech forum?View attachment 1200460View attachment 1200461View attachment 1200462View attachment 1200463
Wewe unaweza kuwa Member wa Stackover flow,Unajua kuwa humu tumo member wa Stackoverflow? Acha dharau wewe raia!
Hiyi ya kuchambua majibu itakuwa kazi ya serikali ya kichwa chakeWewe unaweza kuwa Member wa Stackover flow,
Ukamjibu swali lake kwa ufasaha tu
Ila Sio wote humu ni members wa Stackover flow lakini nao pia wanaweza kumjibu wanavyoona sawa tu hata Kama Sio sawa,na kwakua hajui atachukua majibu Yao
Humu Kuna watu wanauliza mpka jinsi ya ku download Movie kwenye Pc,
Hao nao wakimjibu itakuaje?
Maswali basic Kama yake Sio ya kuuliza humu.atachelewa sana