ChingaMzalendo
Senior Member
- Nov 9, 2008
- 192
- 3
I would like to see some new blood in the parliament.Of course watu wanaweza kusema jamaa anakuja na gia opportunistic and all which is true and I would rather see straight talk, lakini at least tunaweza kuona siasa zetu zinakuwa elevated to another level.
I know John Mashaka is corny as hell in many ways, but what is the alternative? I will take a John Mashaka from "Wall St. South" any day rather than a John Komba or Makongoro Mahanga.
It's time to elevate the game, and unless we have a change of regime/ leadership we are guaranteed to revolve in a vicious cycle of mediocrity.
- Mkuu umeanza tena? Si majuzi tu ulisema ya personal huyataki tena vipi? Ni wapi nimemrushia tuhuma za ukenya? Mashaka ni mkazi mwenzangu mkuu wa Kinyerezi na familia yake yote ninaifahamu, ndio maana nikasema hivi anahitaji kuiweka wazi sasa ya connection yake na Kenya kifamilia,
- Ili kuepusha yaliyomkuta Mungai, kwenye kugombea NEC au umesahau mkuu?
Respect.
FMEs!
Ninachoona hapa siyo kwamba jamaaa ni vipi, ukweli ni kwamba watu wanamuogopa. Huyu ana kipaji maalum, he is so articulate
and that intimidates many of them. Hata mawaziri walionao wanamuogopa huyu mtoto
We have to admit the truth, that is is one of the talented few in our country has ever have.
John Komba, Makongoro Mahanga hawana chochote hapa ndo maana wao roho chonde sasa hivi hawana amani kabisa. Waoga kama nini tunachohitaji ni mashaka zaidi ya mmoja
CV ya John Mashaka
32 Years Old
MBA- Univesrsity of North Carolina Chapel Hill 2006
Jurist Doctrate Duke University 2004
He is an investment Banker
Sorry this part is not true.....Tafadhali tazama tena vielelezo vyakoMashaka! Ni mtaalamu wa masula ya kompyuta wa kutegemewa na kampuni mkoja - Texas.
Ninachoona hapa siyo kwamba jamaaa ni vipi, ukweli ni kwamba watu wanamuogopa. Huyu ana kipaji maalum, he is so articulate, and that intimidates many of them. Hata mawaziri walionao wanamuogopa huyu mtoto
We have to admit the truth, that is is one of the talented few in our country has ever have.John Komba, Makongoro Mahanga hawana chochote hapa ndo maana wao roho chonde sasa hivi hawana amani kabisa. Waoga kama nini tunachohitaji ni mashaka zaidi ya mmoja
Ni kweli tunamuogopa.
Tunaogopa kuendelea kuona jinsi watanzania wanavyokimbilia kumkubali mtu kwa kumjua katika blogu na magazetini tena kwa kulazimisha mapich na mijadala isiyo na mishiko ya uhalisia wa jamii na nchi yetu.
Tunaogopa wanaokaa huko ughaibuni na kufunga safari eti kuja kutusaidia kuondokana na madhila yetu ambayo ama waliyakimbia ama hawayajui isipokuwa katika vijigazeti vyetu na blogu zao.
Tunaogopa hawa wanasiasa wanaotumia madhila ya watanzania kama nafasi ya kujitangaza kwa madhumuni ya kupewa uheshimiwa na sio kuona ni jukumu lao.
Tunaogopa kwa kuwa tuna historia ya kuletewa vijana wa aina hiyo wengi ambao wana viapo vya kulinda maslahi ya dola na watawala wa dola zingine kama ambavyo wengi walifanya miaka ya 70 na 80 ambao ndio wakatuletea EPA, ubepari hovyohovyo na machafu mengineyo bwelele yaliyotufikisha hapa tulipo sasa.
Tunaogopa kuona educated mediocres wanaongezeka katika nafasi za kutufanyia maamuzi ya nchi yetu.
Tunaogopa tunaogopa tunaogopa...
omarilyas
Goodness gracious. Did you really mean to say that? That he is so articulate? Do you know what "articulate" means? Wow...just wow!!!
Lol...really?
Who is we? Please speak for yourself. If Mashaka mesmerizes you, then that's you. Say "I" have to admit and not "We" have to admit. Talkin' about he is one of the talented few our country has ever have...puhliiiiz dude. No wonder why we are in the situation we are in.
Unbelievable!!
Wewe hii CV umeitoa wapi?
Mh, yangu macho na masikio. Jamani hacheni kumchezea rafu dogo, hagombei wala nini alafu huyu ni mtanzania hata baba yake alikuwa mtanzania na mama yake pia. Mabere Nyaucho Marando ni mjomba wake. Yule katibu marehemu Adel ni baba yake mkubwa
- Mkuu kafanye utafiti tena.
Respect.
FMEs!
Pia fahamu kuwa kila mtanzania akifikisha aumri unaotakiwa kikatiba kugombea uongozi anaruhsiwa, hiyo ni haki yake ya demokrasia.
Huu ni mtizamo wangu wakuu.
..huyu kijana anachonivutia ni kwamba mtizamo wake wa kisiasa na kijamii ni tofauti na wa vijana wengine waliojitosa kwenye siasa.
..niliona mahojiano yake na sikuvutiwa na uwezo wake wa kujieleza. tatizo linaweza kuwa amezoea kujieleza kwa kiingereza kuliko kiswahili. lakini kwa upande mwingine kijana anaweza kabisa ku-improve.
Julius..lakini ukisoma HOTUBA anazotoa JOHN MASHAKA utaona kwamba he is SMART and brings SOMETHING DIFFERENT kulinganisha na vijana wengine.
FMEs!
Heshima mbele mkuu, nakuheshimu sana lakini hapo umechemsha. Huyu kijana ni Mtanzania, amesoma nje tu....... Tungefahamiana, ningeku bet $1000 kwa sababu nina uhakika 100%
Basi kama yeye siyo mtanzania na wewe kuwa mgogo siyo kuwa mtanzania; utakuwa mtu wa Rwanda