John Wick

OllaChuga Oc

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2016
Posts
21,956
Reaction score
25,299
Kwa wale wasomjua/wanomjua John Wick mwigizaji maarufu wa muvi kutoka marekani kwa sasa yupo Jiji la kitalii, Geneva of Africa( according to Bill Clinton) Arusha, Tanzania.

Na kesho anaelekea Serengeti. Kwa wale wananzengo wanaoponda A City, watambue kuwa Arusha ni "nembo ya Taifa." Arusha is national icon.

Taifa haliwezi kuendelea bila Arusha.

Long live A town, A city ..

Baadhi ya movies Kali za John Wick ni kama Siberia, John Wick 1,2,3... N.k

Anaebisha aje apa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahh Arusha mtabaki kunusa makalio ya Mwanza tu dadeq....
 
Bila kusahau Matrix revolution
 
Halafu inasemekana ndiyo actor ambaye hapendi makuu na yupo cool na fans wake.
Nasikia jamaa baada ya kucheza Matrix akakatiza kitaa kishenzi media zikamuuliza vipi wewe famous unajichanganya na machizi kitaa jamaa akasema sasa nujifungie ndani ili iweje maana hawa machizi wa kitaa ndio wananunua kazi zangu
 
Nasikia jamaa baada ya kucheza Matrix akakatiza kitaa kishenzi media zikamuuliza vipi wewe famous unajichanganya na machizi kitaa jamaa akasema sasa nujifungie ndani ili iweje maana hawa machizi wa kitaa ndio wananunua kazi zangu
noma aiseee
 
John Wick 3 bado kutoka. Pia kuna kitu kinaitwa 47 Ronin
Imetokaaaa ila bdo ipo cinemaaa ..ni balaa mkuu, kama uko A town sogea maeneo ya complex au boogaloo ule maisha ...John ni balaa man
 
John Wick ni jina la movie zake, yani 1,2, na 3 hii mpya. Ila wengi wanamjua kwa jina ilo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…