John Tendwa ikowapi damu waliyoahidi washiri??

bibikuku

JF-Expert Member
Feb 16, 2011
832
495
Baada ya matokeo ya uchaguzi Arumeru kuthibitisha kuwa Chadema ndio chaguo halisi la wananchi, tukumbuke kauli zenye utata zilizokuwa zikitolewa na baadhi ya MAWAKALA WA CCM

John Tendwa msajili wa vyama vya siasa alimuonya kamanda Lema asifike Arumeru kwakuwa damu itamwagika kwa mujibu wa washiri. John Tendwa sasa aitishe press conference na atuambie je atawafanya nini wale waliomdanganya na hivyo yeye kuliongopea taifa??

Na kwa kauli yake hiyo ambayo haikutokea licha ya kamanda lema kuweka kambi Arumeru, kwanini Tendwa asijiuzulu?
 
Na kwa kauli yake hiyo ambayo haikutokea licha ya kamanda lema kuweka kambi Arumeru, kwanini Tendwa asijiuzulu?[/QUOTE]

ni Tanzania pekee amapo CV inajengwa kwa kufanya maamuzi ya ovyo ,na pale mtu anapochukiwa/kukataliwa na umma ndipo hupandishwa vyeo rejea sakata la waziri(kimantiki anapaswa awe nje ya ofic hii) wa afya na naibu wake.Kamishina Adad Rajabu na wengine.Mungu ibarik Tanzania.Idhohofishe CCM milele
 
Baada ya matokeo ya uchaguzi Arumeru kuthibitisha kuwa Chadema ndio chaguo halisi la wananchi, tukumbuke kauli zenye utata zilizokuwa zikitolewa na baadhi ya MAWAKALA WA CCM

John Tendwa msajili wa vyama vya siasa alimuonya kamanda Lema asifike Arumeru kwakuwa damu itamwagika kwa mujibu wa washiri. John Tendwa sasa aitishe press conference na atuambie je atawafanya nini wale waliomdanganya na hivyo yeye kuliongopea taifa??

Na kwa kauli yake hiyo ambayo haikutokea licha ya kamanda lema kuweka kambi Arumeru, kwanini Tendwa asijiuzulu?
CHADEMA wamfungulie kesi ili huyu mpumbavuasirudie tabia hii lema kila mkutano alikuwa anaenda alikuwa anpokelewa kama mfalme hata alipoenda nyumbani kwao na SIOI Sumari alifunika mbovu kabisa
 
Tendwa huwa anajikakamua kulinda kibarua chake kwa kujipendekeza kwa magammba
 
Tendwa is another kibaraka, aangalie na asome alama za nyakati kama anataka kuwa na safe future atende haki kwa vyama vyote asijifanye mlezi wa CCM tutamfunga 2015 tukichukua nchi
 
nilipenda sana kwa kumuona lema pembeni kabisa mwa msimamizi wa uchaguzi arumeru,yani kama vile lema alikuwa msaidizi wa msimamizi. aibu kwa j.Tendwa,kwa ujinga wa washiri wake ameonekana kilaza na washiri wa ukweli wako na lema. Asante Lema na cdm nzima.
 
Hawa viongozi wa jadi ni "WASHILI".

Ukiwaita "WASHIRI" inaweza kumaanisha ni wale Waarabu wa huko Yemeni.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
P p p p p had nashndwa kutamka coz saut imegoma n ful ba ta haya tayari imekuja sasa!,haya 1 2 3 pi pi pi ni tamu kama pipi,naanza pi poz pawa ni nouma,magamba mpo!!?,kumbe nmegundua magamba yanapokuwepo utawalani yanatunyma raha!,oya waitress leta kama tulvyo!,yan nchi yan tz nzma inakula bata kumbe watu wamechoshwa na magamba.Magamba kwisha habari zenyu.Wapi rejao wap ritz wap dr kuneng'e,wap nnauye jr wap mwigulu nchemba?.Mmejibebaje kwa khanga au mbeleko?Mtakoma.Leta tena tena tena,lucy.Nde meza mate tena tena...Pipoz pawa ni baraaa
 
Hawa viongozi wa jadi ni "WASHILI".

Ukiwaita "WASHIRI" inaweza kumaanisha ni wale Waarabu wa huko Yemeni.

Asante kwa marekebisho ya lugha Mzee Mtei, natumahi mwenendo wa chama unakupa faraja. Chadema kitashika dola!
 
Baada ya matokeo ya uchaguzi Arumeru kuthibitisha kuwa Chadema ndio chaguo halisi la wananchi, tukumbuke kauli zenye utata zilizokuwa zikitolewa na baadhi ya MAWAKALA WA CCM

John Tendwa msajili wa vyama vya siasa alimuonya kamanda Lema asifike Arumeru kwakuwa damu itamwagika kwa mujibu wa washiri. John Tendwa sasa aitishe press conference na atuambie je atawafanya nini wale waliomdanganya na hivyo yeye kuliongopea taifa??

Na kwa kauli yake hiyo ambayo haikutokea licha ya kamanda lema kuweka kambi Arumeru, kwanini Tendwa asijiuzulu?
Tendwa ni sawa na mtu aliye kwenye concert anaimbishwa tu wimbo na mwimbishaji hata kama wimbo wenyewe hauna ladha,
 
Kama Tendwa alikuwa na an ounce of decency in him angeachia ngazi mara moja. Kitendo chake cha kuingilia uchaguzi wa Arumeru Mashariki hakikubaliki kabisa. Huwezi kuwa na imani na mtu anayeongoza kwa kuegemea upande mmoja.
 
That statement was from a man living in a world of his own (the unreal in a real world). Scaremongering rarely works for people who know what they want
 
Baada ya matokeo ya uchaguzi Arumeru kuthibitisha kuwa Chadema ndio chaguo halisi la wananchi, tukumbuke kauli zenye utata zilizokuwa zikitolewa na baadhi ya MAWAKALA WA CCM

John Tendwa msajili wa vyama vya siasa alimuonya kamanda Lema asifike Arumeru kwakuwa damu itamwagika kwa mujibu wa washiri. John Tendwa sasa aitishe press conference na atuambie je atawafanya nini wale waliomdanganya na hivyo yeye kuliongopea taifa??

Na kwa kauli yake hiyo ambayo haikutokea licha ya kamanda lema kuweka kambi Arumeru, kwanini Tendwa asijiuzulu?

Mind you Captain Lema was a big Threat to CCM during the campaign.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom