Tendwa; Toa kauli uchaguzi mdogo Arusha Mjini. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tendwa; Toa kauli uchaguzi mdogo Arusha Mjini.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kagame, Apr 6, 2012.

 1. k

  kagame Senior Member

  #1
  Apr 6, 2012
  Joined: Dec 6, 2008
  Messages: 159
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  John Tendwa, msajili wa vyama vya siasa aliyeamua kujigeuza kuwa mwanasiasa twaomba kauli yako juu ya gharama za uchaguzi mdogo ujao wa jimbo la Arusha Mjini, NCCR Mageuzi kilipomvua uanachama mbunge wao David Kafulila na CUF kumvua uanachama Mh Hamad Rashid ulijitokeza katika vyombo vya habari ukilaumu maamuzi halali ya vikao vya kamati kuu na baraza kuu la utendaji la vyama husika kwa kuchukua maamuzi ya kuwavua uanachama wabunge wao mtazamo wako ukiwa kwenye gharama za chaguzi za marudio, uliongea ukionesha na kufafanua jinsi uchaguzi mmoja unavyogharimu billions of money, kam Taifa tumetoka kuteketeza hela nyingi kwenye uchaguzi wa Arumeru Mashariki na sasa mahakama kuu kanda ya Arusha imetengua ushindi wa aliyekuwa mbunge wa Jimbo hilo Mh Lema. Sasa yatupasa kuingia kwenye uchaguzi ambao matokeo yake hata kabla ya kura kupigwa yeshajulikana haihitaji hata kumlika kwa tochi ili kuona ukweli huu, Huoni kuwa suala hili latupeleka katika gharama zisizo za lazima na nchi inakabiliwa na ukata wa fedha? Au hili ni gumu kujitokeza tena hadharani kulizungumzia maana lina faida kwako? Wazee wa kimeru walikuagiza umwambie Lema asifike Arumeru , je katika uchaguzi mdogo wa Arusha Mjini unadhani wazee watakupa ujumbe gani wa kuufikisha kwa Bw Lema? Asiwe mgombea ama? Nasubiri kusikia toka kwako ili kuniprove me wrong kwamba weye hauko fair & free katika utendaji wako kama Msajili wa vyama vya siasa.
   
 2. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #2
  Apr 6, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Tendwa:Wazee wa Arusha waomba CDM isishiriki katika uchaguzi mdogo wa Arusha mjini ili kuepusha vurugu.mwisho wa kunukuu
   
 3. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #3
  Apr 6, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Hiyo ndiyo democrasia? au ndio mpango?
   
 4. S

  Saitoti Member

  #4
  Apr 6, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka umenena vema ,
  Hapa arusha mjini weka jiwe andika CHADEMA kura linapata Mlete Makufuli kura hazitatosha. Tunaangalia Shule hazina madawati wanafunzi wanakaa chini , hapa hapa arusha but yet Serikali inaingia cost ya kuridia uchaguzi. Well wanapesa, wana dola wana mahakama , Wanaarusha tuna Mungu , Lema ni mweshimiwa sana ktk jamii ya arusha , umesikia wanafunzi na wazazi 300 wamelia . Lema ni Mh sana .
   
Loading...