John Shibuda yuko wapi? Mwaka huu anagombea? anayejua atujuze

John Shibuda yuko wapi? Mwaka huu anagombea? anayejua atujuze

Ni ukweli siasa zina wenyewe. Dr Slaa amejenga sana CDM lakini pengine matunda yake watakula wengine, Zitto hali kadhalika
 
Kaponzwa na siasa za usaliti, na kujiamini kupita kiasi kwamba mtu binafsi anaweza akawa zaidi ya taasisi. Mpanda ngazi hushuka. Ndo tayali ashagota.
 
Alifikili yeye ni malufu kuliko CHADEMA,wamemtumia hatimaye wamemuona GALASA,amenyimwa uRC au uDC hata wa VITI malumu kama HAMAD RASHIDI
 
Hakujua kilema cha Mlemavu ndicho humbeba kusaidiwa na jamii, Shibuda bila CHADEMA sawa na kivuli bila mwanga, hakiwezi kuonekana.
 
Back
Top Bottom