Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 1,015
- 2,512
Wadau zipo taarifa kuwa Uongozi wa Chadema unafanya mazungumzo na mwanasiasa machachari John Shibuda apeperushe bendera ya chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 nafasi ya Urais.
Hesabu zinazopigwa ni namna ya kupata kura nyingi kutoka Sukuma Land (Kanda ya Ziwa) kutokana na takwimu za Sensa 2022 kuonesha wenye sifa za kupiga kura kutoka Kanda hiyo kuwa 8.6milioni. Hizi kura ni nyingi na mtu pekee mwenye ushawishi Kanda hiyo ni John Shibuda.
Taarifa hizi zimevujishwa na Shibuda mwenyewe akiongea na viongozi wa chama chake Ada-Tadea jijini Dodoma kikao cha ndani akisema, "tujiandae kisaikolojia kujiunga na Chadema na mimi nigombee Urais 2025 kupambana na Rais Samia, maongezi yanaendelea".
Nawatakia kila lakheri.
[emoji2781][emoji2781][emoji2781]Wadau zipo taarifa kuwa Uongozi wa Chadema unafanya mazungumzo na mwanasiasa machachari John Shibuda apeperushe bendera ya chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 nafasi ya Urais.
Hesabu zinazopigwa ni namna ya kupata kura nyingi kutoka Sukuma Land (Kanda ya Ziwa) kutokana na takwimu za Sensa 2022 kuonesha wenye sifa za kupiga kura kutoka Kanda hiyo kuwa 8.6milioni. Hizi kura ni nyingi na mtu pekee mwenye ushawishi Kanda hiyo ni John Shibuda.
Taarifa hizi zimevujishwa na Shibuda mwenyewe akiongea na viongozi wa chama chake Ada-Tadea jijini Dodoma kikao cha ndani akisema, "tujiandae kisaikolojia kujiunga na Chadema na mimi nigombee Urais 2025 kupambana na Rais Samia, maongezi yanaendelea".
Nawatakia kila lakheri.
Kama ni taarifa za Ada Tadea kwanini sio mgombea wa huko🤔Wadau zipo taarifa kuwa Uongozi wa Chadema unafanya mazungumzo na mwanasiasa machachari John Shibuda apeperushe bendera ya chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 nafasi ya Urais.
Hesabu zinazopigwa ni namna ya kupata kura nyingi kutoka Sukuma Land (Kanda ya Ziwa) kutokana na takwimu za Sensa 2022 kuonesha wenye sifa za kupiga kura kutoka Kanda hiyo kuwa 8.6milioni. Hizi kura ni nyingi na mtu pekee mwenye ushawishi Kanda hiyo ni John Shibuda.
Taarifa hizi zimevujishwa na Shibuda mwenyewe akiongea na viongozi wa chama chake Ada-Tadea jijini Dodoma kikao cha ndani akisema, "tujiandae kisaikolojia kujiunga na Chadema na mimi nigombee Urais 2025 kupambana na Rais Samia, maongezi yanaendelea".
Nawatakia kila lakheri.
Hongera Sana mkuu kwa kujiingizia b7 , ... Bila Chadema hzo b7 ungezipatia wp ???Wadau zipo taarifa kuwa Uongozi wa Chadema unafanya mazungumzo na mwanasiasa machachari John Shibuda apeperushe bendera ya chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 nafasi ya Urais.
Hesabu zinazopigwa ni namna ya kupata kura nyingi kutoka Sukuma Land (Kanda ya Ziwa) kutokana na takwimu za Sensa 2022 kuonesha wenye sifa za kupiga kura kutoka Kanda hiyo kuwa 8.6milioni. Hizi kura ni nyingi na mtu pekee mwenye ushawishi Kanda hiyo ni John Shibuda.
Taarifa hizi zimevujishwa na Shibuda mwenyewe akiongea na viongozi wa chama chake Ada-Tadea jijini Dodoma kikao cha ndani akisema, "tujiandae kisaikolojia kujiunga na Chadema na mimi nigombee Urais 2025 kupambana na Rais Samia, maongezi yanaendelea".
Nawatakia kila lakheri.
Hifadhi bandiko hili. Ushauri tu.Hongera Sana mkuu kwa kujiingizia b7 , ... Bila Chadema hzo b7 ungezipatia wp ???
Mtaji wa uvccm na wapumbavu wao ni kuiandika vyovyote Chadema, kisha uwapelekea vibwengo wenzao kuona kama imeandikwa wanavyotaka wao , basi inavutwa b7 jamaa anaenda zake
Ahifadhi ujinga?Hifadhi bandiko hili. Ushauri tu.
Wadau zipo taarifa kuwa Uongozi wa Chadema unafanya mazungumzo na mwanasiasa machachari John Shibuda apeperushe bendera ya chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 nafasi ya Urais.
Hesabu zinazopigwa ni namna ya kupata kura nyingi kutoka Sukuma Land (Kanda ya Ziwa) kutokana na takwimu za Sensa 2022 kuonesha wenye sifa za kupiga kura kutoka Kanda hiyo kuwa 8.6milioni. Hizi kura ni nyingi na mtu pekee mwenye ushawishi Kanda hiyo ni John Shibuda.
Taarifa hizi zimevujishwa na Shibuda mwenyewe akiongea na viongozi wa chama chake Ada-Tadea jijini Dodoma kikao cha ndani akisema, "tujiandae kisaikolojia kujiunga na Chadema na mimi nigombee Urais 2025 kupambana na Rais Samia, maongezi yanaendelea".
Nawatakia kila lakheri.
Huyo huyo.Huyu huyu John Magale Shibuda Mbunge wa zamani wa Maswa Magharibi au majina tu yamefanana?
Huyu huyu Shibuda ambaye 2025 Nov atakua na miaka 76 ndiyo CHADEMA imteue kugombea kiti kikubwa kwa nafasi ya kisiasa Tanzania?
Miaka 76?
Mkilewq viroba muwe mnaenda kulala,msitusumbue tafadhali
Ule ujinga wako kule umeshafutwa.Bado huu.Huyo huyo.
Hawajui walitendalo.Ule ujinga wako kule umeshafutwa.Bado huu.
Ndiyo ujifunze kuwa mkweli,mdadisi na mtulivu.Siyo ukijisikia kumshambulia mtu tu unamshambulia bila hata sababu.Hawajui walitendalo.
Siamini kabisa,maana Hana credibility ya kuwa presidential material kuliko tundu lissu na wengine walioko chadema.hivyo chadema hawawezi kuhangaika na mtu kama shibuda kuwa mgombea urais wa chadema 2025.ni Bora agombee heche mara mia watapata Kura nyingi tu.Wadau zipo taarifa kuwa Uongozi wa Chadema unafanya mazungumzo na mwanasiasa machachari John Shibuda apeperushe bendera ya chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 nafasi ya Urais.
Hesabu zinazopigwa ni namna ya kupata kura nyingi kutoka Sukuma Land (Kanda ya Ziwa) kutokana na takwimu za Sensa 2022 kuonesha wenye sifa za kupiga kura kutoka Kanda hiyo kuwa 8.6milioni. Hizi kura ni nyingi na mtu pekee mwenye ushawishi Kanda hiyo ni John Shibuda.
Taarifa hizi zimevujishwa na Shibuda mwenyewe akiongea na viongozi wa chama chake Ada-Tadea jijini Dodoma kikao cha ndani akisema, "tujiandae kisaikolojia kujiunga na Chadema na mimi nigombee Urais 2025 kupambana na Rais Samia, maongezi yanaendelea".
Nawatakia kila lakheri.
Tumia basi vizuri hiyo akili ya kwenye kisoda!Wadau zipo taarifa kuwa Uongozi wa Chadema unafanya mazungumzo na mwanasiasa machachari John Shibuda apeperushe bendera ya chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 nafasi ya Urais.
Hesabu zinazopigwa ni namna ya kupata kura nyingi kutoka Sukuma Land (Kanda ya Ziwa) kutokana na takwimu za Sensa 2022 kuonesha wenye sifa za kupiga kura kutoka Kanda hiyo kuwa 8.6milioni. Hizi kura ni nyingi na mtu pekee mwenye ushawishi Kanda hiyo ni John Shibuda.
Taarifa hizi zimevujishwa na Shibuda mwenyewe akiongea na viongozi wa chama chake Ada-Tadea jijini Dodoma kikao cha ndani akisema, "tujiandae kisaikolojia kujiunga na Chadema na mimi nigombee Urais 2025 kupambana na Rais Samia, maongezi yanaendelea".
Nawatakia kila lakheri.
Duh...!, kama Chadema wamefika hapa!.Wadau zipo taarifa kuwa Uongozi wa Chadema unafanya mazungumzo na mwanasiasa machachari John Shibuda apeperushe bendera ya chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 nafasi ya Urais.
Hesabu zinazopigwa ni namna ya kupata kura nyingi kutoka Sukuma Land (Kanda ya Ziwa) kutokana na takwimu za Sensa 2022 kuonesha wenye sifa za kupiga kura kutoka Kanda hiyo kuwa 8.6milioni. Hizi kura ni nyingi na mtu pekee mwenye ushawishi Kanda hiyo ni John Shibuda.
Taarifa hizi zimevujishwa na Shibuda mwenyewe akiongea na viongozi wa chama chake Ada-Tadea jijini Dodoma kikao cha ndani akisema, "tujiandae kisaikolojia kujiunga na Chadema na mimi nigombee Urais 2025 kupambana na Rais Samia, maongezi yanaendelea".
Nawatakia kila lakheri.
Huo moto umeshawaka na ushahidi utauona kwenye stream media soon kama ilivyokuwa Kwa Padre Wilbroad Slaa 2010 dhidi Mushumbuzi. Time will tellNdiyo ujifunze kuwa mkweli,mdadisi na mtulivu.Siyo ukijisikia kumshambulia mtu tu unamshambulia bila hata sababu.
Huna issue mpya wewe.Tulia ule kipolo cha ugali upumzike.Huo moto umeshawaka na ushahidi utauona kwenye stream media soon kama ilivyokuwa Kwa Padre Wilbroad Slaa 2010 dhidi Mushumbuzi. Time will tell