mtu yoyote neutral au mwenye kupenda upinzani wa kweli lazima atakubali kwamba mbowe is the worst christmas presenta ya any opposition in the worldHata kama Mbowe ni dikteta kweli, rants kwenye vyombo vya habari hazisaidii kitu, zinaongeza tatiozo tu.
CHADEMA, as they say in the hood, don't never say Kiranga never warned you.
mnapoteza muda, mnamjadili Shibuda??? Tena kwa source ya Mtanzania? Thread yenyewe imewekwa na mmoja wa waleta craps jamvini!! Ngoja mi nipunguze usingizi ili nikatazame game ya nanyu na asenali kwa raha zangu
kwa kweli bwana wa wapuki ameanza zile tabia zake za kule
ila jua ndio unakiua chama hivyo bwa mdogo chama ni wanachama na viongozi
usidhani ubabe ndio unaoongoza chama, kwa hakika nnaamini kama uchaguzi ungefanyika kesho basi chadema mngejua ni kiasi gani watanzania walivyochoka na hayo mnayoyafanya
teh teh nimekumbuka namna shibuda alivyopondwa mawe 95 mkoani kilimanjaro alipotumwa na ccm ajaribu kuwashawishi wananchi wasijiunge na mageuzi , alipanda jukwaani maeneo ya majengo ile kuanza kusema wapinzani wahuni wananchi wakaanza kumrushia mawe aliondolewa kwa msaada wa ffu wa mahita ,teh vp umejiunga kwenye genge la wahuni? futa kauli halafu ndiyo ulalamike tukuonee huruma .
Shibuda ni mbunge wenu chadema, mlimkumbatia na kumsifia hapa jamvini. Sasa naona mnamruka tena, kisa anaonyesha uchafu wa M/kiti wenu ?? Nyie ndio mnataka kuleta mabadiliko kweli ?? lol
Tofautisha wabunge wa kazi na wabunge wa kuongezea ruzuku
mtu yoyote neutral au mwenye kupenda upinzani wa kweli lazima atakubali kwamba mbowe is the worst christmas presenta ya any opposition in the world
huwezi kuwa na hooligan halafu ukampa power ya kuongoza... and if i amy be as honest as possible, Mbowe is CHADENA's weakest link
Udikteta muhimu kwenye mambo ya msingi. Ili CDM iendelee inahitaji kiongozi aneweza kuamua na kusimamia kile alichoamua. Kama Shibuda hukuchunguza kabla ya kujiunga CDM,
Unalo hilo. Maamuzi ya kuogopana ndio yanayozamisha Taifa.
Keep it up F.I. Mbowe
<br />CDM hawaoni makosa ya baba yao Mbowe, they will try to justify his every move....the guy is a crook. The party now needs a strong visionary leader not this thug....
Tofautisha wabunge wa kazi na wabunge wa kuongezea ruzuku
Gazeti la Mtanzania 13 December 2010 limemnukuu Shibuda akilalamika kuwa mbowe ni Dikteta na anawaburuza na anajenga makundi badala ya umoja ndani ya chama
"hali ilikwishachafuka, Mbowe anaendesha vikao kwa ubabe, kuhujumiana, kubomoana na kujenga makundi... ule ulikuwa mkutano wa uchaguzi wa wajumbe watano wa kamati kuu, lakini ukatanguliwa na hicho kikao cha kuvunjiana heshima, ilibidi nitoe jina langu" alisema Shibuda.
Shibuda kama ulikuwa hujui huyo ndio Mbowe.
teh teh ndio chama cha demokrasia hicho