Binti Msichana
Senior Member
- Oct 9, 2016
- 109
- 249
makofi kwa rais wetu jamanikatika historia ya nchii hajawahi kutokea Rais mwenye upendo \na aliyweza kuwaunganisha raia kama huyu wa sasa.kwa mara ya kwanza Tanzania Raia hawanyanyaswi sababu ya itikadi ya vyama vyao,upendo na mshikamano umetamalaki kila kona,Big up mheshimiwa Magufuli haitakaa itokee Rais kama wewe pia hongera kwaq kuboresha maisha ya Mtanzania wa kawaida,elimu bure,ndege,flyovers,madawa hospitali na gharama za maisha zipo chini,the best president in Africa
Kwani uongo. Wewe umeshawahi kuona?"Kuna wengine wametuletea mambo ya kubakana, sijui wanaume kwa wanaume, hivi ushawahi kuona Mbuzi anakosea ile sehemu" - Rais wa Tanzania...
Kwani kazi anazofanya huzioni? Tusiwe wizi WA fadhila na si vizuri kubeza juhudi zake hata kama kwako unaona Ni ndogoKwanini awamu hii imejaa kumsifu rais kuliko kufanya kazi?
Ndo mana ya kuzuia bunge live, macho yote kwake Mr Frontpage.Kwani kazi anazofanya huzioni? Tusiwe wizi WA fadhila na si vizuri kubeza juhudi zake hata kama kwako unaona Ni ndogo
katika historia ya nchii hajawahi kutokea Rais mwenye upendo \na aliyweza kuwaunganisha raia kama huyu wa sasa.kwa mara ya kwanza Tanzania Raia hawanyanyaswi sababu ya itikadi ya vyama vyao,upendo na mshikamano umetamalaki kila kona,Big up mheshimiwa Magufuli haitakaa itokee Rais kama wewe pia hongera kwaq kuboresha maisha ya Mtanzania wa kawaida,elimu bure,ndege,flyovers,madawa hospitali na gharama za maisha zipo chini,the best president in Africa