John Pombe Magufuli katika kipindi cha 45mn ITV

John Pombe Magufuli katika kipindi cha 45mn ITV

Kwa hakika namkubali jamaa yuko juu anajua nini kinafanyika wapi na ni mzuri katika kufuatilia. Tatizo tu yuko kwenye kile Chama Cha Magamba kilichojaa fitina na mizegwe hasa kwa wachapa kazi kama Mheshimiwa Alchol Locks
Aaah
 
Maghufuli ni mbwabwajaji namba moja ambaye hajapata kutokea mfano wake kipindi cha jana ndio kimenipa picha halisi ya huyu muheshimiwa kaongea vitu vingi vya kusadikika toka alivyoanza kusem hataki kuona Barabara zinaingiliwana mgari makubwa yanayopaki kwenye feeder roads karibu miezi sita hakuna gari hata moja lilotoka haswa jiji la Dar es Salaam,huyu si mtu wa kumwamini kwa kusema data kibao na kukariri mafigure na mahesabu bila utekelezaji,anajishusha hadhi kila siku,ni maneno mengi vitendo hakuna , hatuna waziri hapo ni vuvuzela lingine
Kabisa mkuuu
 
Huu UZI ndo unaleta maana kichwani kwangu kwamba MAGUFULI n mtu Bora aliepata madaraka makubwa kuwahi kutokea Tanzania.

Jenga nchi rais wangu wacha wapige kelele wakishtuka muda umekwisha.
 
Mod. Samahani: kuna makosa.
Kichwa cha habari ni Mh. Magufuri Mtu wa Data Kichwani.
Data kichwani wapi? ! Anatumia teleprompter. Mbele yake ambayo nyie mlioko majumbani hamuonyeshwi kwenye luninga. ..wake up!
 
Huu UZI ndo unaleta maana kichwani kwangu kwamba MAGUFULI n mtu Bora aliepata madaraka makubwa kuwahi kutokea Tanzania.

Jenga nchi rais wangu wacha wapige kelele wakishtuka muda umekwisha.
Unampa nn mkuu maana sio kwa mahaba hayo !!
 
Mh...dhambi ya kutoifanya Moshi jiji imemtafuna hadi kashindwa kulala tangu aipe hadhi ya jiji Dodoma, kaona akimbilie kwenye TV kuomba poo. Usicheze na moshi bwana
Mbona hata hiyo Dar haina hiyo hadhi ya Jiji?
 
Back
Top Bottom