John Okello

getrusa

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
2,150
Reaction score
1,824
Wakuu naomba kujua historia fupi ya John Okello
• Alikozaliwa na wazazi wake..
je ana ndugu wengine je wako hai?
• Alipokuwa Zanzibar je alikuwa anajishughurisha na nini?
• Alikuwa anaishi wapi akiwa Hapa Unguja?
• kwa mujibu wa muonekano wake anaonekana kuwa kijana..
• je alikuwa na mke? Au watoto kama alikuwa nao je wako wapi kwa sasa..?
• Baada ya mapinduzi hakuonekana tena je nini kilimpata?
[emoji830] je kulikuwa na marafiki wa karibu wa John Okello kama wapi wanamuelezeaje Okello.

Mwisho:
Je tukio la Okello lina funzo lolote kwa usalama na hatua wachukuazo?
nawasilisha.
 

Mkuu Wikipedia ingetii haswaa kiu yako kwa info za kutosha, ungeenda tu huko
https://en.m.wikipedia.org/wiki/John_Okello
 
Historia ya okelo niliisoma kama siyo huku ni kwenye mtandao gani sijui

Ila ilikua very interesting
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…