Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,590
- 8,718
nasikiaaa huyu marehemu alikuwa chini ya uangalizi maalumu zaidi ya miaka 30??
Kwa nini aliwekwa kwenye uangalizi amekuwa ...aboud Jumbe ....labda kaka yake Andrew Nyerere atupe Simulizi za Ndugu yake pale atakapopata wasaa atuandikie ...wengi wangependa kujua ...Simulizi zao ..mafunzo Yao ya urubani ...maisha Yao jeshini ...pamoja na mdogo wao ...na baadaye kuondoka jeshini na uraiani ...hadi maisha Yao ya low profile ...na humble