Nduka
JF-Expert Member
- Dec 3, 2008
- 8,552
- 2,385
Nadhani ushuzi unakuwasha unatafta wa kukusugua
Akina dada leo mtatukana sana na mimi siwajibu, sielewi ni nini kinawauma sana kwa Yericko Nyerere kuwa mtoto wa mwalimu.
Last edited by a moderator:
Nadhani ushuzi unakuwasha unatafta wa kukusugua
Nadhani ushuzi unakuwasha unatafta wa kukusugua
​Haya na Steve Nyerere wa bongo movie nae ni mtoto wa mwalimu..umefurahi sasa!Huyu Yericko Nyerere ni mtoto wa mwalimu, kama unashida na hilo nenda RITA au andamana.
Alikuwa na mke na watoto. Watatajwa. You will be surprised.
Alikuwa na mke na watoto. Watatajwa. You will be surprised.
Badala ya kutueleza habari ya mjane na watoto 8 aliowaacha....
Andrew Nyerere naona km unajaribu kuiweka peupe sana familia ya John wakatj labdq yy ktk kipindi chake cha uhai hakupenda kuwa public figure, tumpe uhuru wa kuendelea kuficha mambo yake km yy mwenyewe alivofanya wakati akiwa mzima!. Wewe unajua ni wanane? Mimi nilikuwa bado sijawahesabu. Lakini hao wanane ni wengi kuliko wa Mwalimu.
Andrew Nyerere naona km unajaribu kuiweka peupe sana familia ya John wakatj labdq yy ktk kipindi chake cha uhai hakupenda kuwa public figure, tumpe uhuru wa kuendelea kuficha mambo yake km yy mwenyewe alivofanya wakati akiwa mzima!
Nakubaliana na wewe. Wale watoto wengine wamezaliwa nje ya ndoa. Tukiwataja tunaweza kupata matatizo na Kanisa Katoliki.