mdetichia
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 5,292
- 2,172
Wapo wengine wanajulikana sana, na hapa jukwaani tuna wawili, Andrew Nyerere na Yericko Nyerere . Kaka yao Makongoro ni maarufu pia na anatajwa kurithi viatu vya Jakaya.
Atavirithi hukohuko ccm na kukiweka pale makumbusho labda apewe kazi ya kutunza majina ya mafisadi khuku kwa wananchi makabwela tumaini letu ni UKAWA.
Last edited by a moderator: