Leo wana JF tuliopo Dar tufike pale kwa mwalimu tumpe moyo mwenzetu Yericko Nyerere na familia nzima ya mwalimu kwa msiba huu mzito.
Leo wana JF tuliopo Dar tufike pale kwa mwalimu tumpe moyo mwenzetu Yericko Nyerere na familia nzima ya mwalimu kwa msiba huu mzito.
Wewe ndio hujui, hao waliokuambia wanaitwa akina nani nyerere? Huyu ni mtoto wa mwalimu na jina lithibitisha.Mbona unakuwa mgumu kuelewa?
Jana uliambiwa kuwa huyu Yericko hana uhusiano wowote na familia ya Mwl Nyerere! Acha utoto ndugu.
R.I.P John
Ndio namsikia leo.... hawa watoto wa mwalimu mbona wanajificha hivi