Haya na wewe kweli Unaishi Uingereza Unajenga MATABAKA ya KIKABILA? Tulidhani ukiishi UK Unaipenda Demokrasia ya kweli
Sasa Ina Maana wewe ni doa jeusi ndani ya UK; Kwani kwa CCM Rais yuko Nje ya NCHI na TEAM ya Mawaziri na Wakurugenzi Ulijaribu kuangalia kama hilo jina MWAKASYUKA pia lipo?
Kwahiyo hiyo BIASHARA yako HAUTA TAKA ku-deal na watu wa KASKAZINI wao ni MANGI @ the same time unawatumia for your own popularity; SHAME ON YOU...
Nape Nnauye alikemewa akaacha kuongelea CHAMA cha KASKAZINI lakini naona wewe ndio LIMBUKENI; na Umesoma
InaMaana Elimu na Uelewa unakupa SHIDA imekufanya MLAFI haujui what's better for your life anymore...