John Mrema aumbuliwa Shinyanga

Status
Not open for further replies.
waliberali wamefanikiwa kutuhamisha kwrnye mjadala wa katiba mpya.kweli CDM inaongoza nchi
 
kamati ya siri hyo imeundwa na mbowe kwenda kueneza mabaya ya zzk


mnamuogopa mtu mpka mbafanya mbinu chafu daahhh


wahafidhina kwishney

hizi kwa uozo anaoufanya zitto ndani ya chama kuna mjumbe yoyote anaweza kumchagua uenyekiti wa chama labda tahira mwenzake na sitaki kuamini kuwa ndani ya cc ya chadema ina matahira yanayoweza kumpa zitto kura za kumuwezesha kushinda..
 

mkuu ubarikiwe sana
 

kama anavyotumika mtundu lusi,mshauri kwanza huyo hyo yote ni msikiv atakuelewa tu.
 
Mbona kuna chama cha WASUKUMA UDP kwa nini wasihamie huko?

Aliyekwambia madiwani wote wa Shy ni wasukuma nani? Unamfahamu Bobson wewe? By the way onene nalinsukuma haswa,acha kutuaibisha! Na usukuma wangu nimejiunga cdm nikiwa under 18 na sijawahi kuwa mwana Udp.
 
kamati ya siri hyo imeundwa na mbowe kwenda kueneza mabaya ya zzk


mnamuogopa mtu mpka mbafanya mbinu chafu daahhh


wahafidhina kwishney

Nonesense! Mnajitungia uongo ili muonekane mnaogopwa?Nimekuuliza hiyo kamati iliundwa na nani na kama ni ya siri wewe umejuaje?
 
ushahidi kamili muulizeni john mrema kilichomkuta huko shinyanga

ameumbuka vbaya vbaya ...

Mnaambiwa mjadala umeisha huku nyuma wanazunguka na kutuma watu wakapakaze mabaya ya zitto

Acha upuuzi wewe... Shinyanga gani unayoizungumzia wewe mbweha?? Na mi ndo nipo Shinyanga na ni kada wa Chadema, hakuna mtu aliyetumwa kumsema vibaya Zito.. On top, hakuna mwana'cdm aliyeumbuliwa hapa Shy zaidi ya Shibuda kufukuzwa kwenye uchaguzi wa kanda kutoka na umamluki wake!
 

Kazi ipo
 
Acha uongo.Njoo uthibitishe haya!Ni kamati gani hiyo?

achana na mjinga. mimi nilikuwepo kikaoni na wengi wa makamanda walipongeza hatua hiyo na wakaomba matawi ya wasaliti wengine watimuliwe. inawezekana huyu ni mamluki wa ccm anayefanya kaz chini ya zitto. tutamtafuta na tutampata.
 
Kweli kabisa wawapeleke hao madiwani wa Arusha washike hizo nafasi.
Nawapongeza hao madiwani kwa kuamua kusema ukweli bila kuteteleka.
 
Acheni kuweweseka chadema

ww ben sa8 muulize kuwadi mwenzako wa mbowe atakwambia kilichomkuta huko shinyanga
 
achana na mjinga. Mimi nilikuwepo kikaoni na wengi wa makamanda walipongeza hatua hiyo na wakaomba matawi ya wasaliti wengine watimuliwe. Inawezekana huyu ni mamluki wa ccm anayefanya kaz chini ya zitto. Tutamtafuta na tutampata.

hahahaaaaaa sasa jazba za nini ??

Mnitafute kwa story hii ya kipuuzi ???

Si mnasema imetungwa?? Mapovu ya nini sasa ??

Wenzenu wanakana hakuna hiko kikao.....mpe pole john mrema
 
Daa bavicha hivi mna chuo maalum cha kufundishwa matusi?
Hivi ni nani amemtuma lema na wenzie kumsema vibaya zitto kwenye mikutano.
 
John Mrema kachoka kabisa(ndembendembe),wachagga wana umoja walimtuma kanda ya ziwaaaaaaaaaa!!!!! na hakuogopa akavaa mabomu.
 
Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu mbulula mkubwa
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…