Jioni hii wakati pinda akihitimisha bajeti yake, aliweza kuongopa kuwa sheria ya mabadiliko ya katiba kuwa kuna kipengere kinachotaka baraza la katiba la wilaya linachaguliwa na WDC kitu ambacho c kweli, pili kuwa Chadema haikupeleka mapendekezo ya mabadiliko ya katiba awamu ya pili kitu c cha kweli Mnyika alisema yeye ndio aliyepeleka. Akaomba muongozo kwa waziri mkuu kusema uongo, na hii ni mara ya pili ikiwa awali muongozo wa kusema uongo haukutolewa. Spika amesema kesho atatoa muongozo.
Si wananchi wanamwita mtoto Wa mkulima imeishia wapi wadau?
Hata hueleweki. Mnyika amesemaje acha kuweweseka
Eti mtoto wa mkulima, mtoto wa mkulima mjinga kiasi hiki mnafiki kazi yake kulialia tu wakati yeye ndiyo kiongozi wa serikali, watoto wa wakulima/ wafungaji walikuwa akina Sokoine siyo huyu mpuuzi...
Pinda kusema uongo hajaanza leo, tena mkiendelea kum-bana ataanza kulia-lia...
Pinda kusema uongo hajaanza leo, tena mkiendelea kum-bana ataanza kulia-lia...
Alikuwa Waziri wa sheria na siyo mwanasheria mkuu. kwa mwonekano wangu waziri alithibitisha kuwa Waziri Mkuu hakujibu sahihi na kauli yake haikuwa sahihi. swali ni kwa nini waziri au hata tume ya katiba ilimpa majibu ya uongo!Kama umefuatilia vizuri mwanasheria mkuu wa serikali ameyeyusha hoja ya Mnyika alipokuwa akimjibu Mbowe aliposisitiza azima ya Chadema kujitoa katika mchakato wa katiba
Wajinga waongo sasa hivi
mary nagu hajui hata wizara eti anasema wizara ya kazi vijana na
maendeleo ya michezo what a heck waziri hajui wizara
Unampongeza amekupa nn mkuu..weka hapa maelezo ya mh Mnyika tujue ili tuchangie
Eti mtoto wa mkulima, mtoto wa mkulima mjinga kiasi hiki mnafiki kazi yake kulialia tu wakati yeye ndiyo kiongozi wa serikali, watoto wa wakulima/ wafungaji walikuwa akina Sokoine siyo huyu mpuuzi...
hata mimi mkuu maana watu wameacha kujadili mambo ya msingi wanajadili movie isiyotambuliwa na BASATA. huu ni ujinga mkubwa sana.:bounce:tupe taarifa kamili, Mnyika alitoa taarfa kwa bunge? Baada ya PM kumaliza? Samahani lakini siku hizi nimeacha kuangalia bunge, bora nikashinde baa.
Unampongeza amekupa nn mkuu..weka hapa maelezo ya mh Mnyika tujue ili tuchangie
pinda tatizo anakunywa sana konyagiwaziri mkuu amedanganya bunge wakati akijumuisha hoja yake kuhusu upatikanaji wa wajumbe wa mabaraza ya katiba Mnyika kaomba muongozo lakini kama kawaida Spika.........katumia rungu.
Wakati Pinda alipokuwa
anatoa majumuisho ya hoja yake, alisema kuwa upatikanaji wa wajumbe wa
mabaraza ya katiba ya wilaya ngazi ya serikali za mitaa, ulipitishwa
bungeni na wabunge wote wakiwepo wa CHADEMA. Alipomaliza hotuba, Mnyika
alisimama kuomba mwongozo wa spika kwa waziri Mkuu kusema uongo bungeni.
Mama Makinda akamwambia atampa mwongozo kesho yake (leo). Muda mfupi tu
akasimama Waziri wa Sheria na Katiba, na kusema kuwa wajumbe wa
mabaraza ya katiba ya wilaya ngazi ya serikali za mitaa wamepatikana
kutokana na utaratibu wa Tume ya Katiba jinsi ilivyoona. Hapa waziri
akawa ameipa nguvu hoja ya Mnyika kuwa Pinda alidanganya kuwa utaratibu
wa kuwapata ulipitishwa bungeni. Ninategemea Mnyika atapata nguvu zaidi
leo ya mwongozo wake kwa kutumia kauli ya Waziri wa Sheria na
Katiba
Sasa ulitegemea spika amwambie WAZIRI MKUU asimame kuomba msamaha kwa Mnyika?waziri mkuu amedanganya bunge wakati akijumuisha hoja yake kuhusu upatikanaji wa wajumbe wa mabaraza ya katiba
Mnyika kaomba muongozo lakini kama kawaida Spika.........katumia rungu.