John Mnyika ni pendekezo la Mbowe si la wafuasi wa CHADEMA

Naona leo full bundle mnatiririka tu..
Mkuu nikuhakikishie kabisa kuwa unapenda sana CDM ....come what may. ... ipo siku utarudi nyumbani
Haya maneno yako yana ukweli kwa kiwango cha juu. Hofu yangu kama Jiwe anapitia JF na kusoma comment yako basi Wakudadavuwa aanze kabisa kuwasiliana na Mwakyembe pati ya kumuaga kimyakimya wataifanyia wapi.
 
Huna hoja ya kuijibu hoja uliyoulizwa!
Hivi, kwanini uliondoka cdm? Kama uliondoka kwa hasira fanya kuomba radhi urejeshwe! Nikupe tahadhari tu kuwa, hii task ya kuisakama cdm ni kubwa mno kwako kwani huwezi kuifanikisha na itakufelisha! Ni Kama unaipa promo badala ya kuikandia! Hata hivyo, cdm ipo juu Sana tangu juzi kwa kikosi walichokichagua ambacho ni makini kwa Kila idara! Hakuna kelele za majukwaani Bali ni kimyakimya Hadi kieleweke! Kama vipi, sumu zinatembezwa kwa kipasa sauti mtaani Wala huhitaji bodaboda kuzifuata zinakouzwa so, jipatie kichupa kikusaidie kuwahi kwa Mungu utupunguzie unaa na uchuro humu! Ala!
Wewe kama nani unaagiza hivyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema chama makini na kimeonyesha kimekomaa
FB_IMG_1576730622809.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu,

Huu ni ukweli, wafuasi wengi wa Chadema Mnyika halikuwa pendekezo lao kwani wao wanamwona ni mpole na asiye mkorofi,mwenye matusi na kiburi cha uzima kwa miaka ya hivi karibuni. Wanaamini Mnyika ni mwanafunzi wa Dr.Slaa sababu naye ni mseminari na kwa kweli alijifunza umakini wa mambo kutoka kwa Dr.Slaa, wanaaini Mnyika si mfuasi wa siasa za uropokaji kama akina Mbowe,Lissu, Lema nk.

Kipindi EL anauzwa huku wengi wakizungusha mikono kama ishara ya mabadiliko, Mnyika alionekana kutokubaliana na siasa hizo. Je akina Mbowe watabadilishwa na Mnyika au Mnyika atabadilishwa na akina Mbowe.

Huu ni mjadala huru unaohitaji mawazo huru na ukweli, Chaguo la wana-chadema wengi lililkuwa John Heche au Marcus Albanie (aligombea ubunge Morogoro mwaka 2015) inasemekana hawa jamaa ni wakali,wana hasira, hawaambiliki, wakorofi eli ndio walikuwa sahihi kwa hali ya sasa.
Katika makatibu waliotangulia ni yupo ambaye alikuwa chaguo la wanachama?
Kwa mujibu wa katiba ya Chadema, mwenyekiti akishaueianana na kamati yake anapendekeza majina ya makatibu halafu wanayapitisha na anawatangaza.
Sasa ulitaka afanyeje? Ulitaka ampendekeze nani ili awe chaguo la watu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu kwani Mnyika kateuliwa kuwa nani? Maana wengine Siasa tuko nazo kushoto sana.
 
Katika makatibu waliotangulia ni yupo ambaye alikuwa chaguo la wanachama?
Kwa mujibu wa katiba ya Chadema, mwenyekiti akishaueianana na kamati yake anapendekeza majina ya makatibu halafu wanayapitisha na anawatangaza.
Sasa ulitaka afanyeje? Ulitaka ampendekeze nani ili awe chaguo la watu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hili la Mnyika hawajafurahi,walishawahi kumtukana kuwa ni masalia ya Dr.Slaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna hoja ya kuijibu hoja uliyoulizwa!
Hivi, kwanini uliondoka cdm? Kama uliondoka kwa hasira fanya kuomba radhi urejeshwe! Nikupe tahadhari tu kuwa, hii task ya kuisakama cdm ni kubwa mno kwako kwani huwezi kuifanikisha na itakufelisha! Ni Kama unaipa promo badala ya kuikandia! Hata hivyo, cdm ipo juu Sana tangu juzi kwa kikosi walichokichagua ambacho ni makini kwa Kila idara! Hakuna kelele za majukwaani Bali ni kimyakimya Hadi kieleweke! Kama vipi, sumu zinatembezwa kwa kipasa sauti mtaani Wala huhitaji bodaboda kuzifuata zinakouzwa so, jipatie kichupa kikusaidie kuwahi kwa Mungu utupunguzie unaa na uchuro humu! Ala!
jomba hivi Mnyika huyu mliyemteua ndie yule ambaye ilikuwa nusura ajiunge na ccm kupitia upepo wa kisulisuli wa bw.Polepole..hahahaahahahah time will tell...yule alikuwa mwanafunzi mtiifu wa Dr Slaa na hatakaa aache.kuwa mfuasi wake...hahahahahah wajinga ndio.waliwaoo
 
John Mnyika ni mtu makini - nadhani atawafaa CDM kwa kuwa mtangulizi wake ni mtu ambaye hakujua kazi za ukatibu

Mnyika anakijua CDM na vyama vingine properly hii itamsaidiana kukabili hali ya kisiasa
 
Back
Top Bottom