John Mnyika ni pendekezo la Mbowe si la wafuasi wa CHADEMA

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
15,221
2,000
Ndugu zangu,

Huu ni ukweli, wafuasi wengi wa Chadema Mnyika halikuwa pendekezo lao kwani wao wanamwona ni mpole na asiye mkorofi,mwenye matusi na kiburi cha uzima kwa miaka ya hivi karibuni. Wanaamini Mnyika ni mwanafunzi wa Dr.Slaa sababu naye ni mseminari na kwa kweli alijifunza umakini wa mambo kutoka kwa Dr.Slaa, wanaaini Mnyika si mfuasi wa siasa za uropokaji kama akina Mbowe,Lissu, Lema nk.

Kipindi EL anauzwa huku wengi wakizungusha mikono kama ishara ya mabadiliko, Mnyika alionekana kutokubaliana na siasa hizo. Je akina Mbowe watabadilishwa na Mnyika au Mnyika atabadilishwa na akina Mbowe.

Huu ni mjadala huru unaohitaji mawazo huru na ukweli, Chaguo la wana-chadema wengi lililkuwa John Heche au Marcus Albanie (aligombea ubunge Morogoro mwaka 2015) inasemekana hawa jamaa ni wakali,wana hasira, hawaambiliki, wakorofi eli ndio walikuwa sahihi kwa hali ya sasa.
 
Valuhwanoswela

JF-Expert Member
Jun 27, 2019
459
500

Yanayosemwa kuwa wana CCM wote ni wajinga kumbe ni kweli ndo maana wote walimpendekeza Bashiru na kumteua kuwa Katibu Mkuu wao kwa kuwa ni mkali na mkorofi. Kama Mnyika ni mfuasi wa Dr Slaa ambaye unadai alikuwa mahili, basi uteuzi wa Mnyika ni mzuri na unafaa kwa wakati wa.sasa wa wakali na wakorofi ili apambane nao kwa hoja siyo kwa mabavu. Mkali na mkorofi wakati wowote na mahali popote ni mjinga na hafai kuwa kiongozi wa watu waliostaarabika. Congratulations, Mnyika carry on the good works!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom