John Mnyika awataka viongozi wa CHADEMA kuzungumzia kero za wananchi

Serikali ikifanya vizuri tuipongeze sio tupingepinge kama mataahira.
Mleta uzi is a pure captivity of his own negativities!Ndiyo maana huwa anajijengea mauzauza kichwani ambayo "anapenda na anataka" yampatie na kumfarji kwa kadiri ya uono wake.😂😂😂😂
 
Unaelewa maana ya neno "jikite"?Kwa nini nitumie nguvu nyingi kutaka niwe sambamba na hoja?Huwa siandiki gazet,mistari miwili au mitatu tu inatosha.Tatizo unataka niandike unavyopenda ndiyo ujipe imani batili kwamba "nimekukita" kwenye "kioja" ulicholeta.
Vijana wa hovyo
 
Sasa mbona mwenyekiti anasema tuipeti peti serikali tusiiparure maana tukifanya hivyo tunapulizwa na kulambishwa asali.
 
Back
Top Bottom