Ukawa bana! Humu JF siku hizi mmeamua kuigeuza ni ya kampeni za EL tu! Mnaanzisha thread mnajijibu wenyewe mnachekelea! Haya siku hizi mmejimilikisha jf, mtu akitofautiana na nyinyi anaonekana humu jf kama si memba kabisa! Haya wacha mjitekenye wenyewe na mcheke wenyewe! Hapa KAZI TUUU!