John Mnyika awaaga wana Kibamba

Nimefurahi kama Mnyika bado yuko kwenye Team ya mabadiliko... maana kuna uzi humu ulisema kuwa anajitoa ukawa
Napendekeza Mnyika ndiye apewe ukatibu mkuu - awe amepata au kukosa ubunge! Ni kijana mwenye moyo wa dhati kuhusu mabadiliko.
 
kwahiyo mfumo ndo tatizo,sio mtu,kwa mjibu wa mnyika
 
Nimefurahi kama Mnyika bado yuko kwenye Team ya mabadiliko... maana kuna uzi humu ulisema kuwa anajitoa ukawa

Ata mimi.nimeona huo uzi.te te te maccm hayo mlalo wa.chali kifo cha ......
 
Mvinyo ulioongezwa mkali kuliko wa mwanzo .chadema aka ukawa nendeni tuko nyuma yenu hakuna kulala mpaka kieleweke.
 
Nimefurahi kama Mnyika bado yuko kwenye Team ya mabadiliko... maana kuna uzi humu ulisema kuwa anajitoa ukawa

Atakula wapi akijitoa bora akina lisu wana professional nyingine ,mnyika ANAJIFANYA yuka pamoja lakin kwa kweli kisaikolojia hayuko vizur tusubiri time will tell
 
mnyika hata aibu huna? kula matapishi sio mchezo! watu ndio wanafanya mfumo. tangu lini mfumo ukawa nje ya watu. mfumo unapumua ni watu. kweli rupia inapoteza utu.
 
Atakula wapi akijitoa bora akina lisu wana professional nyingine ,mnyika ANAJIFANYA yuka pamoja lakin kwa kweli kisaikolojia hayuko vizur tusubiri time will tell

Sizitaki mbichi izi!!!sasa ivi maccm mnasema ivi.Mnyika anajielewa yule sio mchumia tumbo wakina dr cassava.
 
Sisi mpaka saa 6 tutakuwa tunaongoza kwa kura milion kumi na nane mkuu nguvu ya umma inasonga mbele
 
Kwa maslahi ya taifa narudia tena kwa maslahi ya taifa tunawaomba watu majimbo ya Mnyika,Msigwa,Kafulila,Mkosamali n.k kwa dhati wabunge hawa mhakikishe wanarudi tena!
 
Mnyika kwendeni kalibu Sana nahuku nzega tunawasubili nahiyo timu yenu tukopamoja nanyi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…