John Mnyika, asante kwa utapeli huu

John Mnyika, asante kwa utapeli huu

Tatizo sio mnyika ni ccm.. unaona bungeni upinzani akitoa hoja wanajidai kupiga kelele za kwao ni ndiooo..mambo ya zidumu fikira za mwenyekiti...sasa ni ccm basi ..tunataka wabunge waelewe wametumwa na wananchi na sio Ccm
 
kapiga hesabu kaona kibamba wachaga wengi watamuonea aibu kwa uongo wake.

Mwaka huu lazima mchanganyikiwe, hoja ya maji Mnyika kaisimamia vizuri sana, Maji yalikuwa hayatoki hata yale ya mgao lakini baada ya Mnyika tukaanza kuona maji siku ya jumanne, Alhamisi na Jumamosi, kabla ya Mnyika ilikuwa shida! Endekezeni siasa za maji ya mtaloni lakini Mnyika ni mbunge anasubiri kuapishwa.

Kada wa ccm tena rafiki yangu aliniambia juzi kati ya watu wanaoogopwa na ccm ni John Mnyika. Mtaangaika sana lakini Chadema hamuiwezi.
 
Kiukweli mimi siko tayari kuchukua dhamana ya kuongoza nchi kwa style hii. Kiukweli hatujajipanga. Tusiwe wanafiki hata kidogo. Tuwe watu wa maamuzi magumu kama Dr Slaa na Prof Lipumba tuu. Tuige mifano hiyo tusione aibu. Hata Mbowe tulimwambia hili. Unapokosea ndipo unajifunza. Practice makes perfect.! Haiwezekani kama watu tuna akili nzuri kweli kabisa hawa wagombea tumewaanika kwa maufisadii weee nchi nzima. Leo hii eti wote ni wasafi kwa sababu mahakimu wamekuwa wwnyewe makamanda wetu. Ni aibuuuuuu...... hata nyinyi? !!! Nani mnadhani atawaamini tena hapa duniani. Labda ahera

Kaka katika watu tuliyofanya maamuzi magumu kama Dk. na Prof. mimi ni mmoja wao kwa miongo mitatu mfululizo iliyopita nimekuwa mfuasi wa CDM na niliwaamini sana viongiz wangu ila mwaka huu... mwaka huu...
 
Ccm wameishiwa mpaka sera,ooo mnyika,oo ku benea,oo lowasa,nyie hamana yenu?
 
Kaka katika watu tuliyofanya maamuzi magumu kama Dk. na Prof. mimi ni mmoja wao kwa miongo mitatu mfululizo iliyopita nimekuwa mfuasi wa CDM na niliwaamini sana viongiz wangu ila mwaka huu... mwaka huu...

Masaki IT centre mmeamkaje
 
hebu kama mtu hajafanya chochote jimbon kwake kisa hodar wa kuongea bc na ni mpinzan bc!!!huyo anafaa!!!!kweli akil ya nyumbu kuwa mpinzani!!!!wakati wanaomba kula walisema c serikali!!!!mbunge ka kawaida nae ni diwani!!jimbon kwake hakuna mapato ya ndani kuwezesha huduma muhimu!!!!serikal inashughulikia milad mikubwa!!!kubenea hatoshi kwa masabur!!!!mnyika ni form six!!!chuo hakumaliza!!!ni tapel tapel!!!hata huko kibamba kaz kwake kuchomoka kurud mjengon
 
Wewe mleta uzi ni mburura kweli,Mnyika kakimbia jimbo kivipi,kwani Kibamba ilikuwa jimbo gani?
 
Kwa ujinga tuliokua nao makamanda! Tukiulizwa swali kama hili utakuta tunarukia oohh kwani chadema ndio inatawala? ? Sasaaaa kama tulijua chadema haitawali swali
-je wakati tunaahidi wakati wa kampeni kwani tulijua tungepata wapi fungu la kutatua ahadi zetu?
-je kwa nini basi tusiweke au tuahidi zile ambazo zipo chini ya uwezo wetu
-je ni kwa nini tusichukuliwe hatua kwa kuahidi hewa? !?
-je kama hilo dogo tu tulishindwa, hivi tutasemaje makubwa tunayaweza ya kuongoza nchi.
Mnaudhi sana makamanda

maswali kuntu hayo mkuu
 
Go Go Mnyika wish all the best katika harakati
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom