John Mnyika, asante kwa utapeli huu

John Mnyika, asante kwa utapeli huu

Babeli

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2015
Posts
6,700
Reaction score
3,276
Katika wabunge ambao wanajigamba wana solution ya matatizo ya wananchi wao majimboni ni huyu kamanda.

Kamanda umetuangusha sana nadhani ndio maana umekimbia jimbo kwa madai eti unamwachia Kubenea.

Wananchi wako uliwaahidi ndani ya siku 100 utakuwa umetatua tatizo hilo. Hivi katika kipindi chako cha miaka 05 umefanya nini hasa cha maana.

Yaani mnakera sana kwa kuahidi mambo hewa kwa sababu yanarudisha nyuma imani kwa wananchi. Wananchi wapo kwenye vyombo vya habari saa hizi wanalalamika nyinyi mnatesa tu mitaani.

Bwana Kubenea ameamua kubeba mfupa uliomshinda Mnyika ndie atatutia aibu mara mia. Ni kheri hata asingegombea kwa sababu kama Mnyika na ujanja wote kasepa kiaina huyu Kubenea atawezaje.

Ujinga mtupu mnaudhi
 
Kwa ujinga tuliokua nao makamanda! Tukiulizwa swali kama hili utakuta tunarukia oohh kwani chadema ndio inatawala? ? Sasaaaa kama tulijua chadema haitawali swali
-je wakati tunaahidi wakati wa kampeni kwani tulijua tungepata wapi fungu la kutatua ahadi zetu?
-je kwa nini basi tusiweke au tuahidi zile ambazo zipo chini ya uwezo wetu
-je ni kwa nini tusichukuliwe hatua kwa kuahidi hewa? !?
-je kama hilo dogo tu tulishindwa, hivi tutasemaje makubwa tunayaweza ya kuongoza nchi.
Mnaudhi sana makamanda
 
Katika wabunge ambao wanajigamba wana solution ya matatizo ya wananchi wao majimboni ni huyu kamanda.
Kamanda umetuangusha sana nadhani ndio maana umekimbia jimbo kwa madai eti unamwachia Kubenea. Wananchi wako uliwaahidi ndani ya siku 100 utakuwa umetatua tatizo hilo. Hivi katika kipindi chako cha miaka 10 umefanya nini hasa cha maana. Yaani mnakera sana kwa kuahidi mambo hewa kwa sababu yanarudisha nyuma imani kwa wananchi. Wananchi wapo kwwnye vyombo vya habari saizi wanalalamika nyinyi mnatesa tu mitaano. Bwana Kubenea ameamua kubeba mfupa uliomshinda Mnyika ndie atatutia aibu mara mia. Ni kheri ata asingegombea kwa sababu kama Mnyika na ujanja wote kasepa kiaina huyu Kubenea atawezaje.ujinga mtupu mnaudhi

naomba msaada hapo tafadhali
 
Kama hata hujui kipindi alichokaa Mnyika bungeni, hauwezi kujua mambo aliyoyafanya !

Wananchi wa ubungo (nikiwemo na mimi) ndio tuliompeleka Mnyika bungeni, ninaamini kwa wale wa kibamba watamrudisha tena bungeni.... Na sisi wengine tuliobaki Ubunge tutampeleka Kubenea bungeni.....

October 25 sio mbali, tuvute subira !

Kiukweli mimi siko tayari kuchukua dhamana ya kuongoza nchi kwa style hii. Kiukweli hatujajipanga. Tusiwe wanafiki hata kidogo. Tuwe watu wa maamuzi magumu kama Dr Slaa na Prof Lipumba tuu. Tuige mifano hiyo tusione aibu. Hata Mbowe tulimwambia hili. Unapokosea ndipo unajifunza. Practice makes perfect.! Haiwezekani kama watu tuna akili nzuri kweli kabisa hawa wagombea tumewaanika kwa maufisadii weee nchi nzima. Leo hii eti wote ni wasafi kwa sababu mahakimu wamekuwa wwnyewe makamanda wetu. Ni aibuuuuuu...... hata nyinyi? !!! Nani mnadhani atawaamini tena hapa duniani. Labda ahera
 
Kama hata hujui kipindi alichokaa Mnyika bungeni, hauwezi kujua mambo aliyoyafanya !

Wananchi wa ubungo (nikiwemo na mimi) ndio tuliompeleka Mnyika bungeni, ninaamini kwa wale wa kibamba watamrudisha tena bungeni.... Na sisi wengine tuliobaki Ubunge tutampeleka Kubenea bungeni.....

October 25 sio mbali, tuvute subira !

Kamanda tulia uandike vizuri. Mliobaki baki wapi?....
 
Hapa mtaani kuna mgombea Udiwani anatuahidi kua tukimchagua atatatua tatizo la ajira kwa vijana
 
Badala ya kulia na serikali ya ccm unalia na mnyika??
 
Kama hata hujui kipindi alichokaa Mnyika bungeni, hauwezi kujua mambo aliyoyafanya !

Wananchi wa ubungo (nikiwemo na mimi) ndio tuliompeleka Mnyika bungeni, ninaamini kwa wale wa kibamba watamrudisha tena bungeni.... Na sisi wengine tuliobaki Ubunge tutampeleka Kubenea bungeni.....

October 25 sio mbali, tuvute subira !
Kama unakaa ubungo yooote labda kweli lakini kama unakaa ubungo msewe alafu unawajibia na wengine wa maeneo mengine basi hujitambui. Nakwambia safari hii ni aibuuu.. si Mnyika wala Kubenea atakayepita. Ni aibuuuu
 
Kwani jimbo hilo miaka 45 toka Uhuru ccm wameweza kulifanyia nn?
 
Mnyika hana lake tena, Dr Fenela kashashinda pale kibamba.
 
naomba msaada hapo tafadhali
mkuu, mi nadhani alikuwa anamaanisha kikwete na si mnyika maana kikwete ndo kakaa madarakani miaka kumi. kwa hiyo hzo lawama ni za kikwete na si mnyika.
 
Duu Babeli kumbe mnyika alikuwa anakusanya kodi usituambie bwana. Rais hakuahidi maji,umeme vitakuwa historia miaka kumi iliyopita leo hii vp na kodi kakusanya. Tunapomlaumu mbunge tena wa upinzani kidogo tutumie akili ya kuzaliwa. Angekuwa waziri je si ungemmeza mbunge wa watu. Mnyika hata akigombea Arusha anashinda asubuhi kabla hujaamka kama humtaki wapo milioni 6 wanamhitaji.
 
Watu wametoa ahadi hewa kwa miaka hamsini na bado wanataka kutawala seuse huyo wa miaka kumi?
 
Back
Top Bottom