John Magufuli ni mweupe kwelikweli, sijui huo urais aliwaza nini kugombea!

Ondoa Mahaba yako ili uweze kuuona utendaji wa Magufuli

Ww ndio uondoe mahaba yako kwa magufuli ili uuone uozo wa magufuli. 90% ya niliyosema yapo kwenye report ya CAG ambaye ni mteule wa rais. So niliyocomment serikali ya kikwete inayafahamu fika na kwa sbb zao binafsi wameyakalia.

Kwenye mustakabali wa nchi ni nzr wote tukawa objective.
 

I cant agree more mkuu.

Hv mkapa kwa mfano lets b very honest, unakuwa na waziri mkuu mzigo unakaa naye miaka kumi na kumsifu kwamba ni mtendaji. Ghafla anahama chama unaanza kumponda then unataka tukuamini kweli? Tunaweza kuwa malofa lakini si kwa kiwango hicho mzee!
 
Ndio tayari kasha kuwa Rais sasa, anaijenga Tanzania ya wanyonge.

mafisadi hayana rangi
 
Yaliyonenwaaa sasaa
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya manager, boss na Leader. Hii nchi inahitaji leader.
 
Dikteta haimanishi kufanya maamuzi kabla ya kufanya uchambuzi wa kutosha.

Tofauti kati ya Mgufuli na Lowasa ni kwamba Lowasa anaongea jambo baada ya kulifanyia analysis lkn Magufuli Anaongea ndipo anafanya analysis.
Mkuu uliyaona mapema haya...
 
Kutoka kwenye maktaba ya jamvi mwanana.
Haha Mkuu unefukua kaburi..huu Uzi ni valid sana aisee..jamaa aliniona mbali..too bad mtoa mada alim"Kaanga" Dr Fenela..no wonder akakatwa kwenye ubunge EAC..!
 
Reactions: BAK
Mkuu kuna makaburi mengine ni lazima tu yafukuliwe mara kwa mara ili tusisahau yaliyojiri mbali mbali kuhusu huyu dhalimu dikteta uchwara.

Haha Mkuu unefukua kaburi..huu Uzi ni valid sana aisee..jamaa aliniona mbali..too bad mtoa mada alim"Kaanga" Dr Fenela..no wonder akakatwa kwenye ubunge EAC..!
 
Kasi kwenye kufanya lipi lenye maslahi kwa Watanzania. Kudharau katiba, Bunge, mahakama, sheria za nchi, wizi wa kuchota pesa hazina bila idhini ya Bunge!?

Bado Magufuli anastahili pongezi kubwa, amekwenda kwa kasi ambayo haijawahi kutokea.
 
Kasi kwenye kufanya lipi lenye maslahi kwa Watanzania. Kudharau katiba, Bunge, mahakama, sheria za nchi, wizi wa kuchota pesa hazina bila idhini ya Bunge!?
Umesikia fisiem kuunga mkono juhudi za rahisi wa kunyonga wanyonge wamejenga kiwanda cha kununua wabunge, madiwani wa upinzani?

Pia ulisikia amewajengea watoto wa wanyonge hosteli aka makaburi?

Link Hosteli za Magufuli chuoni UDSM zimeanza kubomoka. Nini chanzo? Watoto wetu watapona?

Link 2. Hosteli za Magufuli chuoni UDSM zimeanza kubomoka. Nini chanzo? Watoto wetu watapona?

Link3. Zitto: Tuliambiwa hostel za UDSM zimejengwa kwa bil 10 ila ripoti ya CAG inasema zimejengwa kwa bil 54. Uwongo! Uwongo!
 
Reactions: BAK
Mafisiem yanapongeza tu Mkuu! Yanachojali haya mafisiem ni matumbo yao Mkuu na si maslahi ya Tanzania na Watanzania.

 
Maandishi hayafutiki...
 
It pretty much looks like they were right!
 
Sumaye is a total failure, wala usimnukuu yule. Ameongoza serikali kama waziri mkuu for ten good yrs, yet anasema ndani ya miaka 54 serikali ya CCm haijafanya kitu, while he has been part of it for more than 20yrs...FUTSEKE!!
I hope you remember Magufuli also has been part of the governments (20 years), which he blames everyday for our current miseries.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…