Nchi ya wapenda dezo na kubembelezana inafikia ukomo wake soon. Hapa ni semi-dictatorship ili wote wapenda kubembelezwa mnyooke, huyu ndio nchi inamhitaji zaidi sasa hivi. Hamtaki nendeni kutafuta uraia Somalia.Kiukweli ni bora Kikwete 'dhaifu' kuliko Magufuli mkurupukaji.
Huyu jamaa akipewa nchi hata mwezi mmoja tu atasababisha vita.
Tuchukulie mfano wa mgogoro wa ziwa Nyasa kati yetu na Malawi Magufuli ndio angekuwa rais ingekuwaje?
Tuache ushabiki,Magufuli hafai kuwa rais.
Kagame akili mingi na hekima mbele usilinganishe!Hii tabia yenu ya kukopi na kupaste itawagharimu kama sio kuligharimu taifa siku moja!Hata Kagame nasikia ni dikteta ndio maana
Jumapili ni Magufuli tu.
Hata Kagame nasikia ni dikteta ndio maana Rwanda leo wapo vizuri.
Jumapili ni Magufuli tu.
Kiukweli ni bora Kikwete 'dhaifu' kuliko Magufuli mkurupukaji.
Huyu jamaa akipewa nchi hata mwezi mmoja tu atasababisha vita.
Tuchukulie mfano wa mgogoro wa ziwa Nyasa kati yetu na Malawi Magufuli ndio angekuwa rais ingekuwaje?
Tuache ushabiki,Magufuli hafai kuwa rais.
Kwahiyo Mukangara alitoa siri za baraza la mawaziri kwako?
Dikteta haimanishi kufanya maamuzi kabla ya kufanya uchambuzi wa kutosha.Hata Kagame nasikia ni dikteta ndio maana Rwanda leo wapo vizuri.
Jumapili ni Magufuli tu.