One chromosome
Member
- Aug 20, 2013
- 90
- 43
hivi limimba lako ulijifungua au uliitoa uendelee na madushe?afu basha wako unamuona atapitishwa kweli awe prezdaa wa tz au anauza sura tu?Taratibu, acha sindano iwaingie.
punguza jazba, tafuta kikombe cha maji, kunywa kisha kaa chini soma tena thread yangu kisha unaweza kuposti comment yako, nadhani itakuwa tofauti na hii kwa umbali wa mbingu na ardhi.