Kama isingelikuwa "chuki binafsi" dhidi yangu basi ungeweza kuchangia kwa kiasi cha ufahamu ulichonacho, maana nafahamu uwezo wako hauishii kwenye kumjudge mtoa mada tu, inaendelea zaidi ya hapo.
Miongoni mwa watu ambao hua nina wasiwasi na utashi wao ni huyu Binti, naomba niishie hapa kwanza
Ni kubaya mno kulishwa nawe ukala bila kuchambua, bila kunawa ni ujinga. Eti Usaliti, mmemezeshwa nanyi mmemeza.,wafuasi wa kibwetele.hahahahaha!! Like Shonza; Like Shibuda; two of a kind!! haha; Shibuda angekuwa Nguli wa siasa asingejichimbia kaburi akajizika mwenyewe kisiasa! Shibuda, ZZK na mleta mada hawana tofauti; when need is too high; logic suffers.; Nyota zilizozimika; Good riddance Shonza; Good riddance Shibuda, Good riddance ZZK, the modern day Judeas Iskariots!
Taratibu, acha sindano iwaingie.Nchi hii ina watu wa ajabu sana.. hii umeandika kwa utashi wako au kwa shinikizo la M-pesa za Lumumba!!
Kama umeandika kwa utashi wako kuna mawili.. unaweza kua umelewa viroba original au una mihemko iliyopitiliza, tafuta vijana wakusaidie kutoa hiyo mihemko!!
Its a pity kwa vijana kua na upuuzi wa kiwango hichi... hatuwezi kuendelea kwa style hii aisee!!
Pathetic!
Labda nikuulize..umeandika nini sasa..?Kadadaa - hutakaa uisahau CHADEMA katika maisha yako inavyoonekana!! nimeangalipa post zako zote ni kama unalalamika kupewa taraka isiyo rejea, ni lazima uitaje CHADEMA, DR.Slaa ama Mh. Mbowe!! - unahitaji mtaalam wa kisaikologia kukutibu tatizo hili.
Wenzako CHADEMA wameshakusahau kabisa kama uli-exist, kwa sasa wako UKAWA wanajiandaa kuunda Serikali mwezi October - Pole lakini lazima tu ukubali kwamba wewe si CHADEMA kwa sasa, na mambo yao waachie wenyewe.
huyo ni opportunist kajichimbia kaburi mwenyewe ,usimtafutie mchawi wake
Ushaelewa!!Labda nikuulize..umeandika nini sasa..?
Nayajua usiyoyajua...ni heri ukakaa kimya.
Inahitaji akili na ufahamu kujua kuwa umekosea, na inahitaji hekima kukiri makosa, na inahitaji maarifa ya hali ya juu "kujisahihisha" kimsingi hawa jamaa zetu ni sikio la kufa...kaburi tu ndio dawa.
Duuuu! Mleta mada kachapa lapa!
Ni kubaya mno kulishwa nawe ukala bila kuchambua, bila kunawa ni ujinga. Eti Usaliti, mmemezeshwa nanyi mmemeza.,wafuasi wa kibwetele.
kumbe Juli ni yatima!pole MpenziYatima ulofika pazuri kwa nguvu ya umma ukaichezea sasa unalilia huruma yetu...