fazaa
JF-Expert Member
- May 20, 2009
- 2,984
- 1,031
Eiyer, Sa we ndo unaleta utoto, nimekuliza swali mbona unakwepa, mimi nimekujibu kama huna point potea zako sina time ya kubishana.fazaa nimekuuliza ni wapi kwenye thread pameandikwa vita iliyoko Mali ni ya kidini,hujanipa jibu ndugu yangu zaidi ya kurukaruka tu
'
Hebu jibu swali acha utoto!
Nakuliza we tena, kama hii thread inaongolea Kerry kenda Paris, hii thread itakuwa ya Kijinga na ya kitoto kabisa, mana haina faida kuwepo hapo:biggrin:
Target ya thread hii kuongelea vita vya mali na vita vya mali vinahusika sana na Uislam, mana wao wanapigana na Wa islam kule:A S shade:
Last edited by a moderator: