John Kerry in Paris

John Kerry in Paris

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
132196744_61n.JPG

France's President Francois Hollande (1st R) meets with visiting U.S. Secretary of State John Kerry (2nd R) at the Elysee Presidential Palace in Paris, France, Feb. 27, 2013.

PARIS, Feb. 27 (Xinhua) -- The newly appointed U.S. Secretary of State John Kerry arrived in Paris on Wednesday for talks with French officials, with Paris-led military operation in Mali expected to top his agenda.

Early in the morning, French President Francois Hollande met the U.S. top diplomat to "talk about the whole range of bilateral and transatlantic relations and the major international issues," the foreign ministry said.

Kerry will have lunch with his French counterpart Laurent Fabius to discuss Paris military operation in Mali "on which (Paris and Washington) are cooperating very closely."

France wants more U.S. and European help, including the U.S. aerial refueling capability for French planes, analysts said. However, the United States was long reluctant to decide any military action in the West African country.

Read more: John Kerry in Paris, Mali operation high on agenda - Xinhua | English.news.cn
 
Mkitaka Kujua wa Kristo ni mashetani tazameni siasa zao, America na Faransa wanatakia nini kuingilia mali nchi sio yao, mbona hawaendi Congo wao wanatafuta tu Usilam popote ulipo wakaushambulie.

Siasa za mashetani ni za kuchekesha sana:A S shade:
 
Mkitaka Kujua wa Kristo ni mashetanitazameni siasa zao, America na Faransa wanatakia nini kuingilia mali nchi sio yao, mbona hawaendi Congo wao wanatafuta tu Usilam popote ulipo wakaushambulie.

Siasa za mashetani ni za kuchekesha sana:A S shade:

Mods, fundisha adabu huyu ili ajifunze kuheshimu wenzake. Sio kila kitu in udini tu.
 
Mkitaka Kujua wa Kristo ni mashetani tazameni siasa zao, America na Faransa wanatakia nini kuingilia mali nchi sio yao, mbona hawaendi Congo wao wanatafuta tu Usilam popote ulipo wakaushambulie.

Siasa za mashetani ni za kuchekesha sana:A S shade:

Acha kuhukumu watu wengine, mbona Waafrika wanaaamini mizimu na kula nyani na masokwe husemi?
 
Mods, fundisha adabu huyu ili ajifunze kuheshimu wenzake. Sio kila kitu in udini tu.
Watanifanya nini zaidi ya kunifungia na unadhani nikifungiwa takufa na njaa :biggrin:

Mkiheshimu Uislam sitapoteza time ya kuwashambulia, lakini kila mkileta udini wenu kila siku mnakuja na thread ku-kashifu uislam siogopi cha Mods au ma Pope zenu:biggrin:
 
Acha kuhukumu watu wengine, mbona Waafrika wanaaamini mizimu na kula nyani na masokwe husemi?
Niko na wewe mbona kila siku humu kuna letwa thread kuhusu islam unadhalilishwa sijui wanawake wa ki Islam hivi, wanauwana wao kwa wao na hatujapiga kelele tunajibu, na uwongo au si uwongo America na Ufaransa kwenda mali wanatafuta nini kama si kushambulia uislamu tu...mataizo ya wakristo wakipewa ukweli inawauma:biggrin:
 
Mkitaka Kujua wa Kristo ni mashetani tazameni siasa zao, America na Faransa wanatakia nini kuingilia mali nchi sio yao, mbona hawaendi Congo wao wanatafuta tu Usilam popote ulipo wakaushambulie.

Siasa za mashetani ni za kuchekesha sana:A S shade:

Na mpaka muunganishe vikaputula viwe suruali kwa nini mnakatia magotini?
 
Na mpaka muunganishe vikaputula viwe suruali kwa nini mnakatia magotini?
Sa we ulitaka tuvae vipi, wacha utani turudi kwenye thread ni kweli au uwongo USA na Faransa wanashambulia Uislamu tu hakuna zaidi ya hilo, mbona hawajasogelea Rwanda, Congo na Angola wakati ule kuna vita vya ndani, hivi hao walikuwa sio binadamu, yani binadamu wako nchi za Ki Islam tu:biggrin:
 
Watanifanya nini zaidi ya kunifungia na unadhani nikifungiwa takufa na njaa :biggrin:

Mkiheshimu Uislam sitapoteza time ya kuwashambulia, lakini kila mkileta udini wenu kila siku mnakuja na thread ku-kashifu uislam siogopi cha Mods au ma Pope zenu:biggrin:

Grow up and find a life. Don't think everybody here is in for that ----. We are better than that, I have no time with your idiocy.
 
Grow up and find a life. Don't think everybody here is in for that ----. We are better than that, I have no time with your idiocy.
It appears to be the silly season once again:biggrin:
 
Watanifanya nini zaidi ya kunifungia na unadhani nikifungiwa takufa na njaa :biggrin:

Mkiheshimu Uislam sitapoteza time ya kuwashambulia, lakini kila mkileta udini wenu kila siku mnakuja na thread ku-kashifu uislam siogopi cha Mods au ma Pope zenu:biggrin:

First, respect yourself, before you ask for someone to respect you. It seems you don't even respect your parents who brought you to this earth.

Tell me, how religious is this topic?
 
He was a solid if somewhat boring presidential candidate, but I think he will be a marvelous Secretary of State.

For any who have read David McCullough's "John Adams", he may even fit that mold, always looking at the long term best interests of the nation.

Did I ever say? Some in Congress don't measure up to that standard.
 
First, respect yourself, before you ask for someone to respect you. It seems you don't even respect your parents who brought you to this earth.

Tell me, how religious is this topic?
Have you ever heard the common saying, "You have to give respect to get it, if you dont respect yourself, nobody else will either, now let put this way; Did your parents do a good job in raising you? I don't think so:biggrin:

As for my parents, I respect them more than anyone in the world:A S shade:

I'm graceful that I have such wonderful parents, sidhani kama nataka certificate ya adabu kutoka kwa mtu hana adabu, ungekuwa na adabu usinge ingiza wazazi wangu hapa, kama wewe huheshimu wazazi wako ni wewe tu.

@ thread, French troops have been fighting Mali's Islamist rebels, Am I right?:biggrin:
 
Sa umefurahi kunita mimi Rebels au sio, kwa sababu nawatengenezeni mpaa mnaomba msada kwa Mods hahaha, tena aisay mtakuwa mmefanya la mana sana ma Mods wakiweza ku ni block, mana napoteza mda wangu bure kwa watu wenye chuki na uislam na wasio fahamu hata uwafahamishe vipi, kweli Yesu hajakosea aliposema nyie makondoo mlio potea :A S shade:
 
Hebu nioneshe mahali au sentensi yoyote kwenye thread inayosema vita iliyoko Mali ni ya kidini!
 
Hebu nioneshe mahali au sentensi yoyote kwenye thread inayosema vita iliyoko Mali ni ya kidini!
We unajua Faransa na USA wanapigana na nani Mali? nauliza kama hii thread haihusiki na dini ililetwa hapa kwa sababu gani? Hebu nipe faida ya thread hii kuwepa hapa ikiwa kila kiongozi wa nchi au waziri wa nchi kaenda sehemu tunaweka thread hapa:biggrin:

Mmeona na wapeni dozi hasa nikitoa madhaifu ya bibilia zenu sisi wa islam hatutaki mchezo ndo mana mnapiga kelele, msilete mchezo hapa, kila kukicha mnasema wa Islam au mnafurahi kuona wa Islam wakifa, wakati nyie mmesahau mlivyo jiuwa Ethopia, Rwanda , Kenya, Congo na Angola:biggrin:

Nashangaa mwafrika akimcheka mwarabu, wakati hakuna kitu mwafrika kamshinda mwarabu zaidi ya kuwa nyie mmejiuwa zaidi ya warabu wanavyo jiua, na bado manendelea tu kujiuwa congo na hamta wacha:biggrin:

Mgeanza kujicheka nyie kwanza kabla ya kuwacheka warabu:A S shade:
 
fazaa nimekuuliza ni wapi kwenye thread pameandikwa vita iliyoko Mali ni ya kidini,hujanipa jibu ndugu yangu zaidi ya kurukaruka tu
'
Hebu jibu swali acha utoto!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom