John jambele AUDANGANYA umma kupitia redio one

John jambele AUDANGANYA umma kupitia redio one

Hollyman

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
283
Reaction score
77
leo kuptia redio one mshangiliaj wa yanga john jambele kadanganya watz kuwa yanga imecheza na makame bingwa wa dunia
 
tunayaambia majitu unapo toa facts kwa umma hakiksha una uhakika google raja cassablanca vs bayenn afu uje na jb hapa
 
sasa mtu unasifia yanga kutimua makocha then unaiponda simba kwa kosa hlohlo jambele iga bas kutoka kwa edo kumwembe.
 
Mkuu hamna msamiati wa FACTS katika vichwa vya watanzania ndio maana hata Rais anadanganya watu hawashtuki, mawaziri wanadanganya hamna anayeshtuka Waziri Mkuu hivyo hivyo unategemea nini.
 
Back
Top Bottom