Dotto C. Rangimoto
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 1,985
- 1,284
JOHN HECHE: RAIS MAGUFULI ALISEMA UWONGO.
*Barabara ya Tarime -Serengeti ni barabara muhimu, ahadi ya rais
*Mkoa wa Mara tunahitaji uwanja wa ndege
*Shirika la ndege liko hoi, marubani wanarusha popo
*Barabara zimejengwa chini ya kiwango lakini wahusika wa TANROAD hawashughulikiwi
*Ahoji au sababu rais alikuwa waziri wa Ujenzi ndio sababu ya kutokuguswa TANROAD