Nani kasema kanyimwa dhamana? Ni mawakili wasomi wasio na uwezo wa kutafsiri sheria, kanuni na taratibu ndo wamemgharim.Anaandika Comred Mbunge wa Jimbo la Tarime vijini John Heche.
Mahakama za Tanzania ni aibu kwa taifa, mahakama inapokua sehemu ya kunyima haki inafundisha watu tabia ya kutoheshimu mahakama.
Hili sakata la Lema kuna mtu aliniambia mapama litapigwa danadana mpaka feb kwa visingizio mbalimbali mwanzo sikuamin!!!! Sasa imethibitika hivyo inatia hasira sana. Kesi yenye dhamana inawezekana vipi kunyimwa dhamana!!!!!!!
Piganieni haki za watuhumiwa wote kunyimwa dhamana hata wanapostahili dhamana.
Hebu wataje hapa hao wote
Hivi huko shule huwa mnaenda kusomea ujinga?
Heche awaulize Mawakili wasomi Mallya na Kibatala kwanini rufaa yao ilitupiliwa mbali? Mawakili wameshindwa kujenga hoja awaulize mawakili....Anaandika Comred Mbunge wa Jimbo la Tarime vijini John Heche.
Mahakama za Tanzania ni aibu kwa taifa, mahakama inapokua sehemu ya kunyima haki inafundisha watu tabia ya kutoheshimu mahakama.
Hili sakata la Lema kuna mtu aliniambia mapama litapigwa danadana mpaka feb kwa visingizio mbalimbali mwanzo sikuamin!
Sasa imethibitika hivyo inatia hasira sana. Kesi yenye dhamana inawezekana vipi kunyimwa dhamana!
Hicho kiswahili ulichotumia ni kutoka nchi IPI?? Hahahaha nyie ndio watanzania wa kuhonga uhamiaji zamu yenu inakuja....
Ana kesi mbili zinazofanana. Masharti ya dhamana ya kesi ya kwanza ameyavunja kwa kufanya kosa kama lile la kwanza. Kuna haja gani ya kupewa dhamana wakati akiwa huru yeye hajipangi kujibu tuhuma zinazo mkabili bali anatumia uhuru huo kutukana na kusambaza uchochezi.Anaandika Comred Mbunge wa Jimbo la Tarime vijini John Heche.
Mahakama za Tanzania ni aibu kwa taifa, mahakama inapokua sehemu ya kunyima haki inafundisha watu tabia ya kutoheshimu mahakama.
Hili sakata la Lema kuna mtu aliniambia mapama litapigwa danadana mpaka feb kwa visingizio mbalimbali mwanzo sikuamin!
Sasa imethibitika hivyo inatia hasira sana. Kesi yenye dhamana inawezekana vipi kunyimwa dhamana!
Kama mtu anafanya makusudi kwa kujua atapata dhamana.hapa mwishoAnaandika Comred Mbunge wa Jimbo la Tarime vijini John Heche.