Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 43,037
- 34,741
unadhan wewe ngiri na chawa utajua uwepo wa chadema wanaojua uwepo wake wamemfunga mwnyekiti wa chadema, wamezuia shughuri za ksiasa za chadema, wamezuia mpk mali za chama kama haipo hayo yote yann, kama haipo kwann majizi maccm makuu yanajaribu kuwasngzia chadema khs maandamano kama ccm mnajiamin weken ball kati hata sasa ila waangaliz na waamuz watoke nje ya nchi kilaza samuya na lissu tena lissu asfanye kampen awepo tu around halafu maccm mfanye kampen halafu watanganyika wapge kura tuone sasa. Jiwe kasepa kaiacha chadema, chura kiziwi hangaya naye atasepa jehanamu ataiacha chadema, ccm imekufa imeiacha chadema.Hivi Kumbe Chadema bado ipo?
Chadema ilicheleweshwa sana , Heche anaongea hata karatasi hana, madini yanashuka tu, Mbowe pamoja na makosa kidogo , huna deni umetengeneza taasisi imara sana , japo umelamba asali kidogo
Sijasikia popote ,mh Heche , akitamka neno waziri mkuu , wewe umetoa wapi?
Kufanyaje?Heche aende CCM tu kama mwenzake Kitila
Amesema mwigulu nchembaSijasikia popote ,mh Heche , akitamka neno waziri mkuu , wewe umetoa wapi?
HApa Heche anazungumza mambo ambayo Mwigulu hawezi kuyajibia kwa sababu ni ukweli mtupu. Wakishindwa kujibu ndiyo wanaenda kuwatafuta wale mashekhe bandia waje kuzungumzia dini ya Heche.