Chibike
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 4,910
- 7,562
Na mapori ya wapi kule yaligawiwa...Umekuwa 'partisan' hadi kupoteza fahamu moja kwa moja!
Kama tukio hili linakuwa ni nafasi ya ku'score' points; ni matukio mangapi yanayomhusu Mh. Rais Samia Suluhu Hassan yanayoitikisa nchi nzima; kama kugawa GESI yetu ya Ntorya, kule Mtwara kwa watu wa Oman, bila ya taratibu zilizotumika kufahamika? Ni keki ngai zinazoweza kununuliwa na thamani ya gesi hiyo?