John Heche akata Keki ya Birthday Mahakamani

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,434
Reaction score
14,658
Viongozi na wanachama wa CHADEMA wamemfanyia 'suprise' ya Birthday Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Bara, John Heche kwa kumletea keki mahakamani ambapo baada ya kesi inayokihusu chama hicho Heche alikata keki akiwa eneo la parking ya Mahakama Kuu Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam.

keki Tena!
 
Dunia ni Kuna vioja
 
Heche hana maarifa.
 
Atahojiwa very soon kwa kukata na kula keki mahakamani hasa akijaribu kusafiri nje ya nchi
 
Kama kafanya hivyo.!@@ Tanzania tunakosa msaada wa kisiasa kutoka mataifa makubwa sababu ya Lugha yetu hawaielewi. Hata matukio km Mpinzani mkubwa anakula bata mahakamani si kuendelea kuipa nguvu kauli ya Nchi ina amani sana
 
Viongozi na wanachama wa CHADEMA wamemfanyia 'suprise' ya Birthday Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Bara, John Heche kwa kumletea keki mahakamani ambapo baada ya kesi inayokihusu chama hicho Heche alikata keki akiwa eneo la parking ya Mahakama Kuu Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam.

Wacha ubwege birthday siyo surprise. Endeleeni tu kuchezea fedha za ToneTone wakati Mwenyekiti wenu anasota Ukonga
 
kukosa hekima na busara kwa watu wazima ni hatari sana aise
 
Hivi hiki chama ndo tukikabidhi nchi..?we must not be serious!!
 
Wacha ubwege birthday siyo surprise. Endeleeni tu kuchezea fedha za ToneTone wakati Mwenyekiti wenu anasota Ukonga
Umekuwa 'partisan' hadi kupoteza fahamu moja kwa moja!

Kama tukio hili linakuwa ni nafasi ya ku'score' points; ni matukio mangapi yanayomhusu Mh. Rais Samia Suluhu Hassan yanayoitikisa nchi nzima; kama kugawa GESI yetu ya Ntorya, kule Mtwara kwa watu wa Oman, bila ya taratibu zilizotumika kufahamika? Ni keki ngai zinazoweza kununuliwa na thamani ya gesi hiyo?
 
Viongozi na wanachama wa CHADEMA wamemfanyia 'suprise' ya Birthday Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Bara, John Heche kwa kumletea keki mahakamani ambapo baada ya kesi inayokihusu chama hicho Heche alikata keki akiwa eneo la parking ya Mahakama Kuu Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam.

Woyooool!!! Kuna watu watanuna hapa.
 
Back
Top Bottom