SPANISH CP
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 465
- 230
Wewe ni team captain wa Azam Fc nilikushangaa sana jana ulipokabidhiwa kombe ukaling'ang'ania utadhani lako hata wachezaji wenzako hutaki walibebe mpaka wakupore ndo uwape,jifunze kwa kuona wenzetu huko Ulaya wanafanyaje.