GE2025 John Bina: Wanaotaka kuandamana Oktoba 29, Samia usiwahuruhusu, walegezwe kidogo, ningepewa hata unaibu IGP ningewavunja asubuhi tu!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Madini Nchini (FEMATA), John Bina, amemwomba mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan, kuchukua hatua dhidi ya watu wanaodaiwa kupanga maandamano Oktoba 29, 2025, siku ya Uchaguzi Mkuu.

Bina ametoa kauli hiyo leo, Oktoba 13, 2025, katika mkutano wa kampeni uliofanyika mkoani Geita, ambako Dk. Samia amehutubia wananchi na kunadi sera na ilani ya chama hicho.

“Wanaandamana ili iweje? Wakati fulani, kwa maslahi ya Watanzania zaidi ya milioni 60, usiwahurumie hawa,” amesema Bina, akisisitiza kuwa vitendo vya aina hiyo vinaweza kuhatarisha amani ya nchi.

Bina amesema kwa sasa kuna baadhi ya watu wanaotumia mitandao ya kijamii kupandikiza chuki na kuhamasisha vurugu, jambo ambalo linaweza kusababisha madhara makubwa kwa taifa.

“Tunaona watu mitandaoni wanavyojitokeza, wengine wanajifungia kwenye magari. Hivi kikinuka hapa tutakwenda wapi? Ningepewa Naibu IGP, ningewavuruga asubuhi,” ameongeza kwa msisitizo.

Kauli hiyo imekuja wakati wanasiasa na viongozi mbalimbali wa kijamii wakiendelea kuhimiza amani, utulivu na mshikamano wa kitaifa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, ambapo Watanzania wanatarajiwa kujitokeza kupiga kura kwa amani.

Soma: Rais wa Wachimbaji Madini: Napendekeza moja ya madini tuyabadilishe jina yaitwe 'Samia Suluhu Hassan'

Rais wa Wachimbaji wa Madini John Bina anasema wapo baadhi ya watu wanaohamasisha maandamano huku akihoji wanataka kuandamana waende wapi .

Akiwa katika kampeni za CCM Geita amesema anatoa ushauri kama mtanzania watu wanaotaka kuandamana wasihurumiwe badala yake walegezwe huku akitumia kauli ya " Angekuwa naibu IGP Angevunja "

Mhe. Lissu: Je sekondari umewahi soma?

Kaaya: Nimeanza mwaka 1996 na kuhitimu 1999 shule ya sekondari Lyakilimu.

Mhe. Lissu: Ni sahihi nikisema ulimaliza form four hapo?

Kaaya: Sahihi.

Mhe. Lissu: Ulipata division ngapi?

Amesimama Wakili wa Serikali kuwa anapinga swali la kumuuliza shahidi ufaulu wake. Kifungu cha 167 cha sheria ya ushahidi kinasema jambo hilo sio relevant kabisa. Kikubwa amemaliza shule mengine ni siri ya shahidi.
 
Jamani msiwe mnaleta humu maneno ya watu hata akili za kawaida tu hawana.

Huyo Bina kichwani hakuna kitu kabisa. Yeye wakati wote anahangaika tu mabinti.

Siku moja nilishangaa sana uwendawazimu wa huyo Bina. Alipiga picha ya video akiwa na binti kitandani, wakiwa utupu, akionesha matiti ya huyo binti. Aliyetumiwa akawa analalamika kuwa amekuwa akimtumia hayo mapicha ya ajabu kila mara. Akampigia simu hapo hapo kuwa kwa nini haridhiki, kila siku ni kuonesha yupo na msichana mwingine. Bina akamjibu kwa kumwuliza kama anajua pale Singida yeye anajulikana kwa jina gani, akasema kuwa afahamu kuwa pale Singida, yeye anaitwa King Mswati. Jamaa akachukia, akamkatia simu.

Huyo Bina ni mwehu, hastahili hata kujadiliw
 
FB_IMG_17603425552254464.jpg
 
Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Madini Nchini (FEMATA), John Bina, amemwomba mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan, kuchukua hatua dhidi ya watu wanaodaiwa kupanga maandamano Oktoba 29, 2025, siku ya Uchaguzi Mkuu.

Bina ametoa kauli hiyo leo, Oktoba 13, 2025, katika mkutano wa kampeni uliofanyika mkoani Geita, ambako Dk. Samia amehutubia wananchi na kunadi sera na ilani ya chama hicho.

“Wanaandamana ili iweje? Wakati fulani, kwa maslahi ya Watanzania zaidi ya milioni 60, usiwahurumie hawa,” amesema Bina, akisisitiza kuwa vitendo vya aina hiyo vinaweza kuhatarisha amani ya nchi.

Bina amesema kwa sasa kuna baadhi ya watu wanaotumia mitandao ya kijamii kupandikiza chuki na kuhamasisha vurugu, jambo ambalo linaweza kusababisha madhara makubwa kwa taifa.

“Tunaona watu mitandaoni wanavyojitokeza, wengine wanajifungia kwenye magari. Hivi kikinuka hapa tutakwenda wapi? Ningepewa Naibu IGP, ningewavuruga asubuhi,” ameongeza kwa msisitizo.

Kauli hiyo imekuja wakati wanasiasa na viongozi mbalimbali wa kijamii wakiendelea kuhimiza amani, utulivu na mshikamano wa kitaifa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, ambapo Watanzania wanatarajiwa kujitokeza kupiga kura kwa amani.

Soma: Rais wa Wachimbaji Madini: Napendekeza moja ya madini tuyabadilishe jina yaitwe 'Samia Suluhu Hassan'

Kupiga kura ni kuhalalisha maisha magumu kwa Watanzania. Msako utafanyika kila kona kila uchochoro, ole wake atakayekutwa ana alama ya rangi kwenye kidole. Kidole kitakatwa. Hatuwezi kuendelea kuishi na wasaliti mitaani.
 
Huyu bwege anadhani cheo ndio kinavunja, aendelee kuvunja mawe na ambao amewazoea huko machimboni. Ajifanye kiherehere tu yeye ndio atavunjika akamuulize magoti huko saivi anastress ashatumiwa salamu na wahuni.
 
CCM inaogopa maandamano mnooo sababu ndio kitu pekee kinahatarisha uwepo wake madarakani na hivyo wanapambana kufa kuoina kutisha ili yasiwepo ili wao waendelee kula nchi
 
Dah! Kauli hii ingetoka upande wa pili, Mafwele angedeal nae ila ni mfadhili wa chama na mgombea anaunga mkono matamshi, bila kukemea au kunyanganya maiki
 
Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Madini Nchini (FEMATA), John Bina, amemwomba mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan, kuchukua hatua dhidi ya watu wanaodaiwa kupanga maandamano Oktoba 29, 2025, siku ya Uchaguzi Mkuu.

Bina ametoa kauli hiyo leo, Oktoba 13, 2025, katika mkutano wa kampeni uliofanyika mkoani Geita, ambako Dk. Samia amehutubia wananchi na kunadi sera na ilani ya chama hicho.

“Wanaandamana ili iweje? Wakati fulani, kwa maslahi ya Watanzania zaidi ya milioni 60, usiwahurumie hawa,” amesema Bina, akisisitiza kuwa vitendo vya aina hiyo vinaweza kuhatarisha amani ya nchi.

Bina amesema kwa sasa kuna baadhi ya watu wanaotumia mitandao ya kijamii kupandikiza chuki na kuhamasisha vurugu, jambo ambalo linaweza kusababisha madhara makubwa kwa taifa.

“Tunaona watu mitandaoni wanavyojitokeza, wengine wanajifungia kwenye magari. Hivi kikinuka hapa tutakwenda wapi? Ningepewa Naibu IGP, ningewavuruga asubuhi,” ameongeza kwa msisitizo.

Kauli hiyo imekuja wakati wanasiasa na viongozi mbalimbali wa kijamii wakiendelea kuhimiza amani, utulivu na mshikamano wa kitaifa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, ambapo Watanzania wanatarajiwa kujitokeza kupiga kura kwa amani.

Soma: Rais wa Wachimbaji Madini: Napendekeza moja ya madini tuyabadilishe jina yaitwe 'Samia Suluhu Hassan'

Uchawa na busara havikai pamoja!
 
Back
Top Bottom