Joh Makini ashika namba moja MTV Base

Joh Makini ashika namba moja MTV Base

kende

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2013
Posts
3,527
Reaction score
1,669
Hizi timu za kina Diamond na Alikiba zinatufanya tusahau hata wasanii wengine wanaofanya vizuri, mi sikujua kama 'Nusunusu' wa Joh unafanya vizuri hivyo kwenye channel kubwa hadi nilivyotembelea IG page yake, huo wimbo umekamata no1 kwenye chati, vitu vya namna hii ndio tunavitaka, sio kilasiku Diamond tuuu. Hongera kwake Joh Makini, juhudi zako zitafanya ufike mbali, baada ya Diamond, wewe na Vannesa nahisi ndio mtafatia kutuwakilisha vyema Africa
 
Anastahili, big up kwake.
 
Yaani...sisemi...Diamond anajua mziki kuliko yeyote kwa sasa...Afrika yuko juu...hata mziki wake una mvuto wa kucheza... wengine ndio wanafuatia
 
''......Nachana maanga, napasua giza......''
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom