Joh makin Vs Fid q

Usimfananishi fid na mwana hiphop yoyote hapa tz... Fid ni habari nyingne
 
Mckilize vizur Baba malcom then rudi utengue izo kauli za fid ni king

mmemjenga hivyo, hayuko hivyo

hajulikani mtaani, hana hela kama anazo sio kwa ku rap

mwambieni nyimbo zake ziwe simple, ziendane na jamii.....

angalau sifa zenu zingempa hela basi
 
Mimi nafanya hiphop, tena hiphop ngumu, najua mpaka nguzo na misingi ya hiphop. nasema hivi Fid Q yuko vizuri zaidi.
 
Fid somi LA maana sana. Nimepiga nalo buku mlimani. Msifanishe Chui na paka
 
Heri ya pasaka wana JF
Leo katika pitapita nimekutana na mjadala uliokuwa unawaelezea wakali wa miondoko ya kufoka(hip hop) wa hapa TZ kati ya Joh makini na Fid q,toa maoni yako nani ni mkali zaidi katika uandishi wa mashairi na kuimba
Fid q ni real EMCEE hajabadilika katika mwenendo wa HIP HOP lakini Joh makini alikua kweli EMCEE zamani kabla hajaamua kulitafuta soko fulani ambalo limempotezea sifa ya kuwa EMCEE sasa ni rapa wa kawaida
 
Anachonikera Fid Q ni kujipendekeza kwa Bashite na CCM. Hana ugumu wowote lofa tu njaa anaivalia kibwaya, asubiri 2020 akapigie kampeni chama chao
Inaonekana hapa kuna Ukasikazini na Uziwani. Basi mi wa Nyanda za... Nikae kimya. Maana huwezi kumlinganisha Fid na takataka hiyo
 
Usi ni treat kama second class person-utakuwa unafanya first class mistake,i am professional by fid Q
 
Joh makin na fid q wote n wakal kwenye hip hop ila wanafanya mziki tofauti hivyo kaz kuwafananisha.. Fid q anaandika sana mistar migumu(sikiliza roho uone ilvo ngumu) joh makin ana mistar milain afu ana flow vizur
Joh Makini hana tofauti na Young D.
 
mmemjenga hivyo, hayuko hivyo

hajulikani mtaani, hana hela kama anazo sio kwa ku rap

mwambieni nyimbo zake ziwe simple, ziendane na jamii.....

angalau sifa zenu zingempa hela basi
Hivi wewe kweli unajua mziki?
 
Back
Top Bottom