Jogoo lashindwa kupanda mtungi ! Kweli mke wa mtu ni sumu !!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jogoo lashindwa kupanda mtungi ! Kweli mke wa mtu ni sumu !!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Dr. Sakis One, Dec 30, 2010.

 1. D

  Dr. Sakis One Member

  #1
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimepigiwa simu muda si mrefu na kuhabarishwa kuwa jamaa mmoja katika mji wa Songea amefumanikwa na mganga maarufu kutoka kanda ya ziwa nyasa akiwa anavunja amri ya sita na mke wake! Mganga huyo ambaye ni mpole lakini machachari alimuwekea mtego mke wake baada ya kuona hampi unyumba kwa muda kama wa miezi 4 akidai anaumwa tumbo au sometimes anavua mfululizo ili tu mganga akose malavidavi.

  Jimama huyo mgawa uroda alikuwa amepata serengeti boy ambaye alikuwa akiuza duka maarufu mtaani hapo. Baada ya kula raha kama mara 4 hivi; siku ya tano mganga aliweza ona muvi nzima kupitia kamera yake na hapo ndipo alipomfanya jamaa ashindwe kupanda mtungi. Inasemekana kuwa wote wawili viungo vyao vya uzazi viliungana tu kwa juu juu lakini mchi haukuweza kuzama chini, na walikaa hapo masaa 6 hadi walipopiga simu na kuomba msaada wa kuokolewa.

  Hata hivyo mganga huyo amekataa kuwafikisha katika vyombo vya sheria lakini, amewapa uhuru kila mmoja achague adhabu ambayo ataona inamfaa.

  Ama kweli mke wa mtu ni sumu, shime akina mama mnaoibiwa waume zenu nadhani tiba sasa yaweza patikana! Ni kunasisha tu viungo vya uzazi, na jogoo ashindwe kuwika!
   
 2. Afrika Furaha

  Afrika Furaha JF-Expert Member

  #2
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Imetolewa mikwara mingi sana, lakin bado uroda wanaliwa tu. Hapa unavyoandika hivi tayari kuna wake za watu wanabanduliwa Guest za Sinza, kuna waume za watu wanamegwa na wanaume wenzao, kuna waume za watu wana mega wake wa jirani zao, . . . . yaani hakuna idadi
   
 3. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #3
  Dec 30, 2010
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hiyo tiba lazima uwe unashiriki ibada za sangoma wengine huko hatupo
   
 4. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #4
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  tiba sio hyo kwan hata huyo mganga kufanya hvyo lakn si vimeliwa. ikitokea hvyo mwenye mke au mume wake ndo anaeaibika
   
 5. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #5
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Aibu yangu aibu yake ..
   
Loading...