Jogoo amuua askari polisi!

Kwa mujibu wa BBC hii imetokea Ufilipino. Askari polisi huyo ambaye sasa ni marehemu alikwenda kuzuia pambano haramu la kugombanisha majogoo, mmoja wa majogoo hao alikasirishwa na kitendo hicho na kuamua kumvaa askari huyo na kumuua!


Sio wewe bali ni pombe uliyokunywa harusini jana.
 
Kwa mujibu wa BBC hii imetokea Ufilipino. Askari polisi huyo ambaye sasa ni marehemu alikwenda kuzuia pambano haramu la kugombanisha majogoo, mmoja wa majogoo hao alikasirishwa na kitendo hicho na kuamua kumvaa askari huyo na kumuua!
Ameyataka..!!!
 
Yaani askari alitaka kugombelezea ugomvi mwisho akafa ...ina maana hakukuwa na watu wengine wamtetee polisi.

Kyai kya rangi
Mchezo wa kupiganisha majogoo ni kamari inahusu pesa, askari alipowavamia watu wote walikimbia kuogopa kukamatwa hivyo walimuacha huyo askari na majogoo wapiganaji.
 
Mchezo wa kupinanisha majogoo ni kamari inahusu pesa, askari alipowavamia watu wote walikimbia kuogopa kukamatwa hivyo walimuacha huyo askari na majogoo wapiganaji.
Aisee huko tukipeleka panya road wa Mtogole tunaua jeshi lote!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Jogoo ni Tundu Lissu na polisi ni magufuli😀😀
 
Mbona sikuelewi, unamjibu nani? Au unajifunza kuitumia JF! Ulichokiandika hakiendani na kilichopo kwenye reply yako.


Hivi, huwa inasemwa mbu kaua mtu au mtu kafa kwa malaria??!!-- jifunze kwa mfano huo.
 
Ahahaha hao jogop Wana ukubwa gan?

BINADAMU tumekuwa goigoi kiasi hk KUKU KAUWA MTU
inategemea, kama jogoo akikurukia shingoni na makucha yake kutoboa mishipa nikubwa ya damu, huchukui round aisee.
 
Watu mnazo simu za bei kali kazi yenu kuchati tu! Yaani mmeshindwa kuingia kwenye mtandao na kuipata BBC ambako mngeisoma habari husika! Yangu awali nilisema kwa mujibu wa BBC nikitegemea mtaitafuta kumbe mnaogopa kiingereza, mbona ipo BBC Kiswahili.
 
kweli siku ikifika imefika,yaani mimi huyu wa kuuwawa na kuku kweli[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…