Jobs at Nestlé Global(El-Salvador) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jobs at Nestlé Global(El-Salvador)

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Neemaz, Sep 13, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. N

  Neemaz New Member

  #1
  Sep 13, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jobs at Nestlé Global(El-Salvador)

  Kampuni ya utengenezaji wa kahawa duniani “NESTLE”Inatangaza nafasi za kazi mbali mbali kwa watanzania wote wanaopenda kufanya kazi katika nchi ya EL-SALVADOR (Central America).

  .Usindikaji

  .Upakiaji/Upakuaji

  .Usambazaji

  .Uuzaji

  .Na nyinginezo nyingi,

  Sifa za mwombaji ni uwe umemaliza kidato cha nne(4) na kuendelea,uwezo wa kuzungumza kiingerez na pia uwe na passport ya kusafiria.

  Kwa Maelezo ya kina na utumaji maombi tafadhali wasiliana na Mimi mtanzania naitwa“Neema Mshumbuzi”ninafanya kazi hapa Nestle,El-Salvador kwa Email;

  n.mshumbuzi@live.com au jobs-nestle@hush.ai

  Regards
  Neema Mshumbusi
  Sales Manager
  Nestle Global
  El-salvador.
   
 2. k

  kipanga mweupe Member

  #2
  Sep 14, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Achaneni na hawa jamaa.......ni matapeli na wapo Dar es Salaam.

  Mwanzo walikuwa wanamtumia dada mmoja yupo Ubungo NHC karibu na Hoteli ya Kibadamo ktk kukamilisha utapeli wao.......na wamefanikiwa kweli na kuwaumiza wengi sana na wakapotea kimya kimya.

  Sasa wamekuja na staili mpya ya Nestle! Kuweni makini, kwanini wasitumie domain ya Nestle na watumie domain nyingine??????????????
   
 3. k

  kipanga mweupe Member

  #3
  Sep 14, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama kweli ingia hapa website ya nestle na uangalie na uwasiliane nao na jaribu kucheck hata kwa simu ulizia ukweli Jobs | Nestlé Global
  Na kutokana na hii ina maana any e mail ya mfanyakazi inekuwa inaishia na domain ambayo ni ..........@nestle.com na sio vinginevyo
   
 4. The lost son

  The lost son Member

  #4
  Sep 14, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 96
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 25
  Duh! kazi kweli kweli!
   
 5. Ikumbilo

  Ikumbilo JF-Expert Member

  #5
  Sep 14, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 455
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hawa kama sio matapeli vile. Naona wamekuja kivingine. Watanzania tuweni makini, Kwanza post yenyewe ni moja? Duh

   
 6. Baba Erick

  Baba Erick JF-Expert Member

  #6
  Sep 14, 2011
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 483
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwa mwenye akili aangalie email siyo ya domain nestle
   
 7. G

  Geoz New Member

  #7
  Sep 15, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  watanzania bwana kwa kubwata bwata hamjambo.,unakuta mtanzania mwenzenu anataka kuwasaidia harafu mnakuwa na kashfa kibao eti tapeli ili kuwakatisha tamaa wengine wakati wewe unakuwa wa kwanza kuomba.
  Nchi zingine watu wanatumiana michongo ili kujaribu kukwamuana kwenye umasikini sasa nyie mara eti tapeli mara sijui vile huo ni upumbavu,sio kila mtanzania ni tapeli acheeni ushamba.

  kama mtu anashida na ajira ajaribu bahati yake,kama akiona haridhishwi na maelezo na vigezo si anachana nazo kwani anakuwa amelazimishwa?
  Watanzania tuamukeni maana bora hata kuwa house boi ughaibuni kuliko kuendelea kuumia na ukosefu wa ajira hapa kwetu tanzania.
   
 8. L'AMOUR

  L'AMOUR Senior Member

  #8
  Sep 15, 2011
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
   • Kwa watu makini ni vyema mkajionea ukweli wa kampuni na contact zake na sio kukubali kila e-mail address eti tu ni ya mtanzania mwenzetu.
    Kwani ni wangapi tumetapeliwa na marafiki zetu tena tuliowaamini? hata ndugu hawaaminiki siku hizi. Be careful na hawa matapeli. Angalia hata haonyeshi ni mji gani yuko kataja nchi tu.

    Corporate Office
   • Nestlé El Salvador S.A. de C.V.
   • El Almendro Avenida El Espino y Calzada Centro Corporativo Madreselva Urbanizacion Madreselva Apartado (06) 497 Antiguo Cuscatlan
   • El Salvador
   • Tel: +503-2288-8400
   • Fax: +503-2243-9615
   
 9. E

  E52 Member

  #9
  Sep 15, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 81
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wewe Geoz hujui matapeli.....hv uoni hiyo email haina domain name ya nestle.....naona unamtetea sana kama vp kaombe hiyo kazi ya kuchuma kahawa.......usiwe kila saa optimistic.....u hv to be realistic......eti unasema heri kuwa houseboy ulaya kuliko bongo......think big brother..
   
 10. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #10
  Sep 17, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Mkuu shtuka mapema huyo anamtetea ndio huyo huyo mmoja hamna jipya, hebu angalia hapa kwanza

  Neemaz

  #1 [​IMG]


  [​IMG]Junior Member[​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG]


  Join Date : 13th September 2011
  Posts : 1

  Rep Power : 0  Check na hapa....Hawa wote wahuni mkuu.....Tupo JF kwa miaka na miaka na tumeshawajuwa tayari, angalia hizo date walizo join

  Geoz

  #7 [​IMG]

  [​IMG]Junior Member[​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG]


  Join Date : 13th September 2011
  Posts : 1

  Rep Power : 0


   
 11. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #11
  Sep 17, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mijambazi yote hiyo. Big up kwa mkuu papizo kwa uchambuzi makini.
   
 12. Baba Erick

  Baba Erick JF-Expert Member

  #12
  Sep 17, 2011
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 483
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  unatuita sisi wapumbavu? Nilikuwa najaribu ku-track ip za domain wanazotumia hawa mata** Neemaz na Geoz wote wapo hapa hapa dar tena wanatumia internet ya vodacom na BTS wanayotumia ni ya TANGI BOVU MBEZI. NAMWOMBA mungu awarehemu.
   
 13. vena

  vena JF-Expert Member

  #13
  Sep 17, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  okay...see u there
   
 14. D

  Domo Zege JF-Expert Member

  #14
  Sep 17, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Jibu maswali ya msingi sio maneno, alafu inaonekana ww ni yuleyule Neemaz umekuja na ID nyingine.Ni mtazamo tu
   
 15. Ikumbilo

  Ikumbilo JF-Expert Member

  #15
  Sep 17, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 455
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Safi sana kwa uchambuzi yakinifu, maana siku hizi kuna matapeli kibao. Ogopa tapeli.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...