Is not easy to find a way through.Ni wazo zurii ila kujitolea napo nafasi azipatikanii, me naamini jitihada inabidii zianze toka chuoni kwa kuungana watu watatu watano au zaidi na kujaribu vitu mbali mbali kama group kama kuandaa mawazo na kuomba fund na kushiriki mashindano mbali mbali duniani lengo likiwa kutafuta capital kwa ajili ya start up yenu binafsi , huku mkienda field mna add value sehemu iyo mpaka mkiondoka wa wawaze Mara mbili mbil
Tuko pamoja chief🙏🙏, I mean no malice to nobodyMzee wa no Malice nakukubali Sana ishi Sana.
Mbona kikatili sana mkuuSuffering today doesn't guarantee a better tomorrow.
You may suffer until you die.
Kaka Nime fikiria Mara mbili ujumbe huu, nakukubali pia ndugu yangu🙏🙏Mzee wa no Malice nakukubali Sana ishi Sana.
Achana nae, huenda ndo anayo pitia😉Mbona kikatili sana mkuu
Inaonyesha yuko kwenye hali mbaya sanaAchana nae, huenda ndo anayo pitia😉
[emoji28][emoji28][emoji28] mkuu una experience na unacho zungumza bila shaka.maisha nyoko sana, yaani kukata tamaa kunakuja automatic hata uambiwe neno gani unaona kama bolingo tu
Niko poa kabisa.. mambo yanasonga.Mzima Rafiki hofu kwako??
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Msisahau kula wakuuu. Mana ujobles na stress na kujibana kula kunaenda sambamba.
Maisha sio lazima yakubali ndugu zangu hatuyadai kitu. Nimekuwa winga siku hizi na natoka kitambi fresh tu
Suffering today doesn't guarantee a better tomorrow.
You may suffer until you die.
Suffering today doesn't guarantee a better tomorrow.
You may suffer until you
😂 maneno ya aina hii yanatoka kwetu kajamba nani, uwezi pambana usione progress unless we umeamua tu maisha yako yawe ivooWord😂
😂 maneno ya aina hii yanatoka kwetu kajamba nani, uwezi pambana usione progress unless we umeamua tu maisha yako yawe ivoo
naomba unifundishe kuwa winga mkuuMsisahau kula wakuuu. Mana ujobles na stress na kujibana kula kunaenda sambamba.
Maisha sio lazima yakubali ndugu zangu hatuyadai kitu. Nimekuwa winga siku hizi na natoka kitambi fresh tu
Hapo umenena mkuu"For those who talk, don't know and for those that know, don't talk"
Mkuu kuna watu wamepambana hujawahi ona na bado all goes wrong, sikatai kuwa kuna sehemu inaweza ikawa bado inapwaya kwao ila kutafuta haikupi uhakika wa kupata na ndio maana kukaitwa kutafuta.
Yan nacho jaribu kusema ni kwamba mtu akiwa kwenye mapambano ya maisha ndio kuna kushindwa kupiga hatua lakini sio kusogea kutaka hapa kwenda pale unaweza shindwaa kumiliki kampuni kama mfanya biashara mkubwa lakini ukawa na uhakika wa kula na kunywa , au unaweza ukashindwa kujenga jumba la kifahari lakini ukapata mahali pa kulala na watoto wakapafurahia, kama umewahi kuwa na watu wa karibu ambao kuna wavivu na wachapakazi ndani yake utaona hili, kusema kwamba binadamu anaweza pambana na alikuwa apati chakula ana akaishi miaka ishirini mbele akafa awezi ivo ivo kupata chakula hapana nakataa"For those who talk, don't know and for those that know, don't talk"
Mkuu kuna watu wamepambana hujawahi ona na bado all goes wrong, sikatai kuwa kuna sehemu inaweza ikawa bado inapwaya kwao ila kutafuta haikupi uhakika wa kupata na ndio maana kukaitwa kutafuta.
Mi nina hali ngumu ya kiuchumi, ila still naamini Nita toboa.Inaonyesha yuko kwenye hali mbaya sana
Labda mtu binafsi ana shida ambazo kwa macho amuoni, tumewahi kuwa na ndugu anayepewa mtaji ila biashara azisogeii na maisha yake yako vile vile kila siku baada ya kuwa tegemezi sana mdogo wake akaamua kumpa mtaji na kuanza kusimamia mapato na matumizi kwenye biashara ya kaka yake kuja kukaa mwaka akagundua kaka yake sio biashara aziendi zote huwa ana tabia ya kuchota mtaji kidogo mala kwa mala na kupeleka kwa waganga kufanya matambiko ya yeye kufanikiwa ela alizokuwa anapeleka ni nyingi anajikuta mtaji unakufa na akuna mganga aliyemsaidia.Yan nacho jaribu kusema ni kwamba mtu akiwa kwenye mapambano ya maisha ndio kuna kushindwa kupiga hatua lakini sio kusogea kutaka hapa kwenda pale unaweza shindwaa kumiliki kampuni kama mfanya biashara mkubwa lakini ukawa na uhakika wa kula na kunywa , au unaweza ukashindwa kujenga jumba la kifahari lakini ukapata mahali pa kulala na watoto wakapafurahia, kama umewahi kuwa na watu wa karibu ambao kuna wavivu na wachapakazi ndani yake utaona hili, kusema kwamba binadamu anaweza pambana na alikuwa apati chakula ana akaishi miaka ishirini mbele akafa awezi ivo ivo kupata chakula hapana nakataa
😂mkuu wewe si umetoka kusema kuna office ulipewa link ya fulani kanituma ukawa unaingia saa 3 na sasa unaenda kutembelea wafanyakazi makwao na gari za office ama nina wenge la njaa?Msisahau kula wakuuu. Mana ujobles na stress na kujibana kula kunaenda sambamba.
Maisha sio lazima yakubali ndugu zangu hatuyadai kitu. Nimekuwa winga siku hizi na natoka kitambi fresh tu
Yan nacho jaribu kusema ni kwamba mtu akiwa kwenye mapambano ya maisha ndio kuna kushindwa kupiga hatua lakini sio kusogea kutaka hapa kwenda pale unaweza shindwaa kumiliki kampuni kama mfanya biashara mkubwa lakini ukawa na uhakika wa kula na kunywa , au unaweza ukashindwa kujenga jumba la kifahari lakini ukapata mahali pa kulala na watoto wakapafurahia, kama umewahi kuwa na watu wa karibu ambao kuna wavivu na wachapakazi ndani yake utaona hili, kusema kwamba binadamu anaweza pambana na alikuwa apati chakula ana akaishi miaka ishirini mbele akafa awezi ivo ivo kupata chakula hapana nakataa
[emoji1][emoji1] Mkuu haya maisha acha kabisa tena ya Afrika ndio balaa.Mbona kikatili sana mkuu