CHUO CHA UFUNDI JITA
Senior Member
- Feb 8, 2013
- 116
- 23
Haa haaa! Mbavu zangu jamani. Wahudhurie kwenye darasa langu wajifunze.
Last edited by a moderator:
Aliyekuambia nimeandika kiswahili ni nani?
Sema "sijui vizuri Kiingereza" sio "sijui Kiingereza vizuri" pia sema "Halafu" sio "alafu".
Zaidi ya hayo, umesema vyema na nadhani umeeleweka.
Sema "sijui vizuri Kiingereza" sio "sijui Kiingereza vizuri" pia sema "Halafu" sio "alafu".
Zaidi ya hayo, umesema vyema na nadhani umeeleweka.
Ukiandika maneno kwa native language wengine hatutaelewa!
"Hemu' so neno LA kiswahili wala kingereza
Muombe sana Mungu akupe ufahamu juu ya matumizi ya herufi ndogo na kubwa, la si hivyo unatuletea kichefuchefu wanaJF wenzako.
Neno " khalafu" halipo kwenye kamusi ya kiswahili. Lipo neno "halafu"Pia rekebisha hapo kwenye neno Halafu na lisomeke hivi "khalafu"
Hapa hatusemi bali tunaandika, kwahiyo hebu rekebisha hilo neno "Sema" na liwe "andika" maana kama tungekuwa tunasema basi sauti zingekuwa zinasikika.
Pia rekebisha hapo kwenye neno Halafu na lisomeke hivi "khalafu"

Mimi kwa kukusaidia mleta mada,wewe jaribu kusoma kwa bidii umalize kwanza chuo. Punguza wasiwasi wa kupata ajira. Huku mtaani kuna watu wengi kupita kiasi unachofikiria wewe. Ukifika ndo utajua,kwa sasa soma kwanza.
Ila ajitahidi kuongeza uwezo wa kuandika kwa lugha ya Kiingereza. Waajiri wengi wanahitaji barua za maombi ya kazi ziandikwe kwa kiingereza.
Niliandika "sema" kumuamuru aseme huko aliko. Usilazimishe uelewa wako uwe wa jamii yote.
Maneno yote yenye asili ya kiarabu yenye vitamkwa "kh" yaweza andikwa na kutamkwa "h" mfano Hadija "Khadija", Habari "Khabari"
Kasome kwanza Sarufi na historia ya lugha ya Kiswahili ndio uje kukakamaza vidole vyako hapa.