Job Opportunities

WomanOfSubstance

JF-Expert Member
May 30, 2008
5,458
956
Job Title:Vice President Inter Regional Services GroupLocation:TBDCountry:AfricaCompany:World Vision InternationalDescription:World Vision International (WVI) is a Christian relief, development and advocacy organization dedicated to working with children, families and communities to overcome poverty and injustice. A leader in it’s field, WVI works as a catalyst for change and provides leadership and assistance in some of the most challenging situations in 98 Countries, employs more than 40,000 staff and commits US$2.5 billion annually. Inspired by our Christian values, we are dedicated to working with the world’s most vulnerable people and we serve all people regardless of religion, race, ethnicity or gender. We are currently hiring for a Vice President Inter Regional Services Group. The position will report to the Senior Vice President, Global Operations.Responsibilities:VP Inter Regional Services Group will have responsibility for directing a diverse group of support functions and operational units that will provide services across 25 countries within the three regions currently being served by World Vision Africa. This will include such services as finance, IT, and human resources as well as sector services such as relief, development and advocacy.For specific details regarding the position and to apply, please visit our website at www.wvi.org International Employment page under "Africa". The closing date : 12 June 2009. Only short-listed applicants will be contacted.Qualifications:Qualifications: A minimum of 10 years experience providing strategic leadership as a senior organizational leader, preferably within the humanitarian industry; minimum of three years leadership experience in Africa. Masters degree in a relevant field is preferred. Successful and proven track record of developing executive level leaders, either at a national or regional level in a cross-cultural setting and communicating, initiating and implementing organizational change at a leadership level. Demonstrated ability and experience working with Advisory Councils or Boards. A mature and committed Christian who can lead spiritual nurture activities; attends and participates in weekly chapel and daily devotional meetings. Fluency in English and French for West Africa is required and Portuguese for Southern Africa is preferred. Contact DetailsContact Person:Telehone:Fax:E-mail:http://us.mc537.mail.yahoo.com/mc/compose?to=Apply Online:Website:www.wvi.org

Job Title:Africa Regional Vice PresidentsLocation:Country:AfricaCompany:World Vision InternationalDescription:World Vision International (WVI) is a Christian relief, development and advocacy organization dedicated to working with children, families and communities to overcome poverty and injustice. A leader in it’s field, WVI works as a catalyst for change and provides leadership and assistance in some of the most challenging situations in 98 Countries, employs more than 40,000 staff and commits US$2.5 billion annually. Inspired by our Christian values, we are dedicated to working with the world’s most vulnerable people and we serve all people regardless of religion, race, ethnicity or gender. We are currently hiring for Africa three Regional Vice Presidents (East Africa, Southern Africa and West Africa). These positions will report to the Senior Vice President, Global Operations.Responsibilities:Regional Vice Presidents will be responsible for exercising strategic oversight and governance of World Vision operations, ensuring the required leadership and management support to enable the effective delivery of World Vision’s mission by National Offices and through regional initiatives, in alignment with WVI Vision, Mission, Core Values and partnership strategic priorities.For specific details regarding these positions and to apply, please visit our website at www.wvi.org International Employment page under "Africa". The closing date of 12 June 2009. Only short-listed applicants will be contacted.Qualifications:A minimum of 10 years experience providing strategic leadership as a senior organizational leader, preferably within the humanitarian industry; minimum of three years leadership experience in Africa. Masters degree in a relevant field is preferred. Successful and proven track record of developing executive level leaders, either at a national or regional level in a cross-cultural setting and communicating, initiating and implementing organizational change at a leadership level. • Demonstrated ability and experience working with Advisory Councils or Boards. A mature and committed Christian who can lead spiritual nurture activities; attends and participates in weekly chapel and daily devotional meetings. Fluency in English and French for West Africa is required and Portuguese for Southern Africa is preferred. Contact DetailsContact Person:Telehone:Fax:E-mail:http://us.mc537.mail.yahoo.com/mc/compose?to=Apply Online:Website:www.wvi.org
 
World vision employs people on the basis of religious belief in addition to their merit, this compromises efficiency and serves to just create resentment and conflict. Fisi tuu hawa.
 
World vision employs people on the basis of religious belief in addition to their merit, this compromises efficiency and serves to just create resentment and conflict. Fisi tuu hawa.
qualification huna...usi diskareji wenzako.....
 
qualification huna...usi diskareji wenzako.....

Asante ndugu yangu.
Kwani lazima kila mtu aombe? Yule anayeona inamfaa tumpe nafasi ajaribu.Yule anayedhani hii org haimfaa basi asiombe.
ITS NOT AN ALL SIZE FITS ALL SITUATION.
 
Jamani wenye CV mchongo huo mbona waislamu wamo wengi tu nimewaona wanakula bata tu world vision jamani changamkieni mchongo huo.
 
Jamani wenye CV mchongo huo mbona waislamu wamo wengi tu nimewaona wanakula bata tu world vision jamani changamkieni mchongo huo.

Usiwadanganye watu Fidel; mojawapo ya kigezo ni lazima uwe MKRISTO;
...A mature and committed Christian who can lead spiritual nurture activities; attends and participates in weekly chapel and daily devotional meetings. Fluency in English and French for West Africa is required and Portuguese for Southern Africa is preferred. Contact DetailsContact Person:Telehone:Fax:E-mail:Apply....
 
Najiluza hiyo nafasi ya world Vision kwanini mkristo tu ndo anahitajika kwani anaenda kuwa mchungaji au padri au ndo udini ambao unapigiwa kelele kila kukicha.Nadhani si busara kutoa nafasi kwa upendeleo wa kidini inawezekana ni mengi ya udini yanatendeka kimya kimya katika ajira ambayo hayatangazwi.Kwa tangazo hili la world vision nadhani ni wazi udini upo sana katika ajira ndo maana kuna kundi moja la dini limekuwa likilalamika miaka na miaka kuwa kuna udini ktk nyanja mbalimbali kuanzia Elimu ,ajira,afya na nyinginezo.Kwa watanzania hili halikubaliki kamwe
 
World Vision wanajieleza wazi kuwa ni Shirika la Kikristo na sera zao ni kuajiri Wakristo tu hivyo si ajabu maana wanaeleza wazi. Ingekuwa ni ubaguzi wa hali ya juu kama wangewa-discriminate wasio Wakristo huku wakisema kuwa nafasi iko wazi kwa watu wa dini zote.

Kwani OIC wanaajiri watu wa dini nyinginezo zaidi ya Waislamu? It is understood that there are secular organisatino and religious organisations and all of them they have got different employment policies.
 
Wameweka wazi kwamba ni shirika la Kikristo na wanafanya kazi mpaka kwenye nchi za kiislam without comprimising their core value,mimi sioni shida wao kuweka wazi kwamba ni wakristo na wanaajiri wakristo (ingawa waislamu wapo na wanajulikana) kuliko wale ambao wanatangaza halafu wanafanya shortlisting kwa kuangalia dini,rangi n.k

Kwa hiyo kwa uoni wangu si kila anayeona tangazo lazma aombe ni kama unaona unahitaji kufanya nao kazi na una vigezo ikwemo ukristo uliokomaa the go ahead.
 
Ni kweli wanaajiri wakristo tu. Kama unataka mshahara mnono wa CEO usitume maombi!!!!! Labda kwa siku hizi pengine mishahara wame-improve, zamani ni kama volunteers vile!!!
 
Najiluza hiyo nafasi ya world Vision kwanini mkristo tu ndo anahitajika kwani anaenda kuwa mchungaji au padri au ndo udini ambao unapigiwa kelele kila kukicha.Nadhani si busara kutoa nafasi kwa upendeleo wa kidini inawezekana ni mengi ya udini yanatendeka kimya kimya katika ajira ambayo hayatangazwi.Kwa tangazo hili la world vision nadhani ni wazi udini upo sana katika ajira ndo maana kuna kundi moja la dini limekuwa likilalamika miaka na miaka kuwa kuna udini ktk nyanja mbalimbali kuanzia Elimu ,ajira,afya na nyinginezo.Kwa watanzania hili halikubaliki kamwe

Tusipende kulalamika na kufikiria kuwa kila kitu kinaenda kama tunavyotaka ndugu.
Umeshaambia kuwa hilo ni shirika la kikristo na hayo ndo masharti yake.TUHESHIMU TU.
Lingeweza likawa la dini au dhehebu lolote lile.Cha msingi hapa ni kuwa tuwaachie wale wenye hizo sifa ikiwa ni pamoja na kuamini katika imani husika.
 
Bwn Julius acha kuwa mnafiki,umeshaona taasisi za kiislamu zimeajiri ambazo wakristo katika nafasi za juu?unafikiri moja ya mashirika ya UN?.Hizo ni sadaka za wakristo,na kusudi lao ni kusaidia jamii yote,na hilo wanafanya bila ubaguzi.Wenye kutoa fedha wana uhuru wa kuamua nani aajiriwe kukiongoza.kama wewe kama siyo mkristo huna sifa,kama ambavyo pengine unaweza kukosa sifa kwa kazi fulani.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom