Mme Mwenza
JF-Expert Member
- Feb 6, 2025
- 2,680
- 3,833
mkuu una maanisha mda utasema au vipMuhtasari
Mheshimiwa Job Yustino Ndugai ni mwanasiasa wa Tanzania na aliwahi kuwa Spika wa Bunge la Tanzania tangu Novemba 2015 hadi alipojiuzulu Januari 6. Hapo awali alikuwa Naibu Spika kuanzia 2010 hadi 2015 kabla ya kuwa Spika chini ya serikali ya Magufuli. View attachment 3281708
OhoooNimemkumbuka kama nilivyomkubuka mchungaji aliyevua gwanda na kubebeshwa mapichapicha kama muongoza msafara wa marehemu hayati
Mshana kiufupi ndiyo hivyo.Hata nikikuuliza ni kaupumbavu gani utaishia kutoa macho tuu...
Huwa hamchokiMuhtasari
Mheshimiwa Job Yustino Ndugai ni mwanasiasa wa Tanzania na aliwahi kuwa Spika wa Bunge la Tanzania tangu Novemba 2015 hadi alipojiuzulu Januari 6. Hapo awali alikuwa Naibu Spika kuanzia 2010 hadi 2015 kabla ya kuwa Spika chini ya serikali ya Magufuli. View attachment 3281708
Coffin....
๐ณ๐ !ndiyo nini sasa
Nini hiyo ??!Bado kidogo
Duh ๐ !Nimemkumbuka kama nilivyomkubuka mchungaji aliyevua gwanda na kubebeshwa mapichapicha kama muongoza msafara wa marehemu hayati
Hivi kuna mtu isipokua familia yake anaweza kupata taharuki?Taarifa nyingine kichwa cha habari chenye kutia taharuki ,kimuhemuhe๐
Nchi inaenda haraka haraka sana !Lisu,Slaa,Ndugai,Mnyika n.k ni team nzuri sana ya kampeni !lakini nani atapeperusha bendera!!?Ndugai!!?Lisu!!?
Ndugai atapata uungwaji mkono ndani ya ccm hasa team jpm!
Ngoja tuone!
Siyo kila kitu unaleta humu jukwaani, jaribu kuleta vitu vyenye maana.Umeshindwa kuthibitisha mbona sasa
Hii itakuwa Kenya Style ,Angestaafu tu akachana na siasa huko kuslim hakutamsaidia kitu