Mkuu wacha watu wafikiri vyovyote, maana wewe ndiye uliyeleta puzzle hii.
Utahangaika sana kuwarudisha watu ndani ya pandora.
Maana kama ni code word, mtu huwa mpaka apewe na muomgozo unaoitwa SOI(security operational instructions) ili kuweza kuelewa kilichokusidiwa.